HALMASHAURI ZA WILAYA KATAVI ZATAKIWA KUTATU CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU KUFANIKISHA BRN
Na.Issack Gerald-MPANDA HALMASHAURI zote zilizomo ndani ya mkoa wa katavi zimetakiwa kufanya jitihada za kutatua changamoto za miundombinu ya elimu ili kuhakikisha wanafunzi wote wanasoma vizuri.