DC MPANDA-HAKUNA PEMBEJEO ZA RUZUKU-Oktoba 6,2017
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi
Wa kwanza kulia ni DC llilian Matinga(asiyekuwa na wigi) |
Matinga amebainisha hatua hiyo wakati
akizungumza na Mpanda Radio Ofisini kwake kuhusu dalili za kucheleweshwa kwa
pembejeo hizo wakati ndiyo msimu wa kilimo ambapo amewataka waendelee kununua
katika maduka yanayouza mbolea.
Wakulima
wameanza kusikika wakilalamikia serikali kuchelewesha kuleta mbolea kwa ajili
ya kuendesha kilimo cha kisasa na chenye tija.
Kuanzia
mwaka 2015,Wakuu wa wilaya na wakuu wa Mikoa hapa nchini waliagizwa na serikali
kuu kusimamia usambazaji wa mbolea tofauti na mfumo uliokuwepo wa mawakala
kufanya kazi hiyo.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au
ukurasa P5Tanzania Limited au P5Tanzania Limited Group
Comments