UONGOZI CHADEMA KATAVI,JIMBO NA WILAYA WASIMAMISHWA UONGOZI.
Na.Issack Gerald-MPANDA
Uongozi wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA,kanda ya kusini
Magharibi,umewasimamisha viongozi wa chama hicho kwa Mkoa wa Katavi,kwa jimbo
la Mpanda na wilayani Mpanda,kwa tuhuma kukihujumu chama.
Akizungumza
na P5 TANZANIA MEDIA,aliyekuwa katibu wa Chama hicho kabla ya
kujiudhuru,Bw.Mailwa James amesema, uongozi wa kanda ulifanya kikao cha
kuwataka viongozi waliokuwa madarakani kuondoka na uongozi mpya uteuliwe.Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema |
Uongozi
Ulioteuliwa Kukaimu Madaraka Kwa Siku 90 Mpaka Uchaguzi Utakapo Itishwa,Kwa
Ngazi Ya Wilaya,Mwenyekiti Ni Bw. Swanga,Katibu Ni Bw.Erasto Egero, Wakati Kwa
Upande Wa Jimbo,Aliyeteuliwa Ni Bw.Yohana Kamwela,Na Katibu Wake Ni Bw.Mwarabu
Kess.
Comments