WANANCHI WILAYANI MLELE WATAKIWA KUFICHUA WANAOFANYA VITENDO VYA UKATIRI
Katikati ni mkuu wa Wilaya ya Mlele Issa Njiku akifafanua jambo |
NA.Issack Gerald-Mlele
Wakazi kata ya Kibaoni Wilayani Mlele
Mkoani Katavi wametakiwa kushirikiana na vyombo vya dora kutoa taarifa za
vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya
ya Mlele Kanali Mstaafu Issa Suleiman
Njiku wakati akizungumza na P5 TANZANIA
Kuhusu vitendo vya mauaji vilivyotokea hivi karibuni kwa wanawake
wawili kuuwawa Kikatili Katika kijiji
Cha Ilalangulu .
Kanali Njiku amesema sheria kali
zitachukuliwa kwa mtu yeyote atayebainika kujihusisha na vitendo vya kikatili.
Hata hivyo siku chache baada ya mauaji ya
wanawake hao,wakazi hao waliliomba jeshi la polisi kuwasaidia dhidi ya
Comments