HABARI PICHA WIKI HII KUHUSU KIKAO CHA KUPITISHA MPANGO WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 WILAYANI MPANDA-PICHA ZOTE NA P5 TANZANIA MEDIA

Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda Bw.Estomihn Chang'a,wa pili ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Pazza Tusamale Mwamlima,wa tatu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na diwani wa kata ya Mpanda Ndogo  Hamadi Mpaengo na wa nne ni Msitahiki Meya Manispaa ya Mpanda na Diwani wa Kata ya Majengo Mh.Willium Philipo Mbogo wakiwa katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16 katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda. Mwenyekiti wa Kikao hicho alikuwa mkuu wa Wilaya (PICHA NA Issack Gerald)

Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald)

Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda aliyeshika maiki ni katibu wa chama cha CUF Katavi (PICHA NA Issack Gerald)

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw.Pazza Mwamlima akizungumza na wajumbe wa kikao wakati wa ufunguzi wa kikao Februari 16 lkatika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald)

Mchumi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Bi.Mary Kanumba akiwasilisha mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald)

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA