NAMNA WAZIRI MKUU WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA ALIVYOWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KATAVI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyowasili Mkoani Katavi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuka katika ndege na akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa wa ndege Mpanda (PICHA NA .Issack Gerald) Agosti 20,2016 |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Vijana baada ya kupokelewa uwanja wa ndege(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016 |
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majliwa akisalimiana na wa wananchi waliojitokeza kumpokea (PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016 |
Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majliwa akisalimiana na wa wananchi waliojitokeza kumpokea (PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016 |
Comments