MEYA MANISPAA YA MPANDA: SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi
MSTAHIKI Meya wa Halmashauri ya
Manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi Willium Mbogo amesema hana Mpango wa kugombea
Ubunge.
Amesema hayo mbele ya waandishi wa
habari kufuatia kuwepo kwa minong,ono kuwa ana nia ya kugombea ubunge katika
jimbo mojawapo mkoani Katavi ifikapo 2020.
Kauli hiyo inakuja ikiwa ni siku
chache tangu kumalizika kwa uchaguzi wa ndani ya chama cha Mapinduzi CCM
akiutaja mchakato huo kuwa chanzo cha tetesi alizo
zifananisha na propaganda.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
au ukurasa P5Tanzania Limited
Comments