Posts

Showing posts from February, 2016

WABUNGE VITI MAALUM MPANDA WATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA,WATOA MSAADA WAAHIDI MAKUBWA.

Na.Meshack Ngumba-Mpanda SERIKALI imeshauriwa kufanyia kazi changamoto zilizopo katika hospitali ya wilaya ya Mpanda ili kuwawezesha wananchi kupata huduma bora za afya.

SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 1.6 VYUO VYA UALIMU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 1.65/- kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwenye vyuo vya walimu hapa nchini.

JIPU KUBWA MPANDA KATAVI LATUMBULIWA,WATUMISHI 16 NJE,TUME KUANZA KAZI YAKE WATAKAOBAINIKA SHERIA ZANOLEWA YUMO NA MWANASHERIA WA MANISPAA YA MPANDA.

Na.Issack Gerald-Mpanda BALAZA la Madiwani Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ,limewasimamisha kazi watumishi 16 wa Manispaa hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo utumiaji ovyo wa fedha za manunuzi ya gari la kuzoa taka pamoja na ubadhilifu wa fedha ya skimu ya umwagiliaji maji ya kakese.

SILAHA 4 ZAKAMATWA KATAVI ZIPO MBILI ZA KIVITA WAMILIKI WAKE WATELEKEZA PIA PIKIPIKI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA WENYE GOBOLE WAO WADAKWA NA POLISI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la polisi Mkoani Katavi,limekamata silaha nne zikiwemo silaha mbili za kivita aina ya SMG na pikipiki moja aina ya Huoniao yenye namba za usajili T.948BHU za watu wanaosadikika kuwa ni majambazi.                                                 Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavoi ACP Rashid Mohamed akiwa ameshika silaha aina ya SMG za kivita zilizokamatwa kwa watuhumiwa wakiwa katika harakati za kufanya uharifu.(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Watuhumiwa waliokamtwa na silaha mbili aina ya gobole(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavi ACP Rashid Mohamed akionesha miongoni mwa silaha ambazo zimekamatwa(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Katika picha ni Silaha aina ya SMG ambazo ni za kivita zikiwa ni miongoni mwa silaha 4 ambazo zimekamatwa (PICHA NA.Is...

MAFUNZO YA SIKU 3 KUHUSU UTUNZAJI WA FEDHA NA MALI ZA UMMA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YAANZA KATAVI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MAHAKAMA ya Tanzania    imeanza   mafunzo ya siku 3   kuanzia leo hadi February 27 juu ya utunzaji wa fedha na mali ya umma kwa watumishi wa mahakama ya Tanzania mkoani Katavi katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Mpanda.                                                  

MTOTO MWENYE MIAKA 03 AUWAWA KIFO CHA UTATA KATAVI,WAZAZI WAKAA NA MAITI NDANI YA NYUMBA KWA SIKU 4,MAJIRANI WARIPOTI TUKIO POLISI BAADA YA KUKERWA NA HARUFU MBAYA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi WATU wawili ambao ni wazazi wa mtoto aliyefahamika kwa jina la Justina Laurent (3) wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Katavi kwa kusababisha kifo cha mtoto huyo ambaye aligundulika akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha wazazi wake huku akiwa na majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

ZOEZI LA KUWAFILISI WENYE MAKONTENA KUANZA LEO.

Image
WADAIWA 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam mwishoni mwa mwaka jana, mali zao zinaanza kukamatwa leo na kufilisiwa.                                                         Baadhi ya Makontena yaliyokamatwa bandarini

BAJETI IJAYO KUTEKELEZWA KWA MAPATO YA NDANI.

Image
SERIKALI imesema bajeti ya mwaka ujao, hususani utekelezaji wa miradi yote ya maendeleo, itatekelezwa kwa fedha za ndani. Waziri wa fedha na Mipango Dk.Philip Mpango

CHUO KIKUU MTAKATIFU JOSEPH TAWI LA ARUSHA WAGOMA,WAKODI MABASI MATAtU KWENDA DAR ES SALAAM KUMWOMA WAZIRI NDALICHAKO.

Image
WANAFUNZI 1,548 wa Chuo Kikuu cha St. Joseph tawi la Arusha, wamegoma kuingia darasani kwa siku tatu na kukodi mabasi matatu kwenda Dar es Salaam kumwona Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako .                                                    Katibu mtendaji wa TCU Prof.Yunus Mgaya

GESI YAGUNDULIKA BONDE LA MTO RUVU

Image
TANZANIA imedhihirisha kuwa ni tajiri mkubwa wa rasilimali ya gesi asilia baada ya kugundulika kwa gesi nyingine katika bonde la mto Ruvu yenye ukubwa wa ujazo wa futi trilioni 2.17.                                                  Baadhi ya wakazi katika bonde la mto Ruvu

MAHAKAMA YAAMURU NDOA KUVUNJIKA WILAYANI MPANDA,WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA SHAMBULIO LA MWILI.

Image
Na.Boniface Mpagape-Mpanda MAHAKAMA ya Mwanzo mjini Mpanda juzi imeamuru mdai Leticia Seleman awe na uhuru wa kuishi peke yake au kuanzisha mahusiano mengine ya ndoa katika kesi ya madai ya talaka kutoka kwa aliyekuwa mmewe Makono Brash.                                                   Mahakamani

BENKI YA DUNIA KUFADHIRI UJENZI WA KILOMITA 7.7 ZA BARABARA MANISPAA YA MPANDA 2016/2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Zaidi ya kilometa 7.7 za barabara katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ,zimetengwa kwa ajili ya ujenzi kwa kiwango cha lami   kwa mwaka wa fedha 2016/2017.                                            Benki ya dunia

MKUU WA WILAYA MPANDA ATOA SIKU SABA KWA OFISI YA MADINI KUTATUA MGOGORO KATI YA KAMPUNI YA KIJANI INVESTMENT NA WACHIMBAJI WADOGO MPANDA.

Image
Na.Meshack Ngumba-Mpanda MKUU wa Wilaya ya Mpanda Bwana   Pazza Mwamlima ametoa siku saba Kwa ofisi ya Madini Wilayani Mpanda Kutatua Mgogoro uliopo baina ya Kampuni ya Kijani Investment na Wachimbaji wadogo wa dhahabu Katika Machimbo ya Dilifu.                                              Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw.Pazza Mwamlima Akizungumza na wananchi waishio katika mgodi wa dhahabu wa Dirifu ambao kipato kikuu wanategemea mgodi huo (PICHA NA Issack Gerald)

HIVI KUMBE HALI YA BEI YA DAGAA SUMBAWANGA RUKWA IKO HIVI?

Image
Na.Issack Gerald-Sumbawanga DAGAA maarufu kama kauzu wanauzwa kwa bei ya juu katika masoko ya mjini Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kuadimika katika kipindi hiki cha masika.                                              Miongoni mwa dagaa wanaouzwa Sumbawanga Mjini Kutoka Rukwa wakivuliwa kutoka Ziwa Tanganyika (PICHA NA.Issack Gerald)

MTOTO MWENYE MIAKA 4 ACHOMWA MOTO NA BABA YAKE MZAZI KWA TUHUMA YA KULA MBOGA YOTE AINA YA CHAINIZI,POLISI WAMTIA MBARONI KUFIKISHWA MAHAKAMANI MUDA WOWOTE.

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Emmanuel Joseph (31) mkazi wa Kata ya Kazima Wilayani Mpanda Mkoani Katavi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Katavi kwa tuhuma za kumchoma kwa moto mtoto wake aitwaye George Emmanuel(04) akituhumiwa kula mboga aina ya Chainizi.                                                   Mtoto wa miaka 4 aliyechomwa  moto na baba yake baada ya kula mboga aina ya chainizi.(PICHA NA.Issack Gerald)

WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA KWA TUHUMA ZA SHAMBULIO.

Na.Gervas Boniventure-Mpanda WATU watatu wamefikishwa katika mahakama ya mwanzo   Mjini Mpanda Mkoani Katavi kwa kosa la kumshambulia Abdala hamissi kwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali.

WANAFUNZI 523 KATI YA 930 WAFAULU MTIHANI MANISPAA YA MPANDA,130 MATOKEO YAO YAZUILIWA KWA KUSHINDWA KULIPA ADA

Image
Na.Vumilia Abel-Mpanda JUMLA ya wanafunzi 523 kati ya 930 waliofanya mtihani wa taifa kidato cha nne katika Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda wamefaulu.                                               Miongoni mwa wanafunzi waliohitimu mwaka 2015 katika shule ya Sekondari Mwangaza Manispaa ya Mpanda (PICHA NA Issack Gerald) Wanafunzi wa kike Mpanda waliohitimu mwaka 2015

RIPOTI YA PILI BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI SANNY YA KANISA LA (KKKT) ILIYOPO MKOANI KATAVI KUTEKETEA KWA MOTO HII HAPA,TATHMINI YA AWALI MALI ZA SHILINGI MILIONI 8.97 ZILITKETEA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Shule ya sekondari ya Sanny inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) imesema kuwa thamani ya awali ya mali za wanafunzi zilizoteketea kwa moto katika bweni la wavulana ni Milioni nane laki tisa na sabini elfu.                                                    Mwonekano wa Sehemu ya bweni la wavulana lililoteketea kwa moto Shule ya Sekondari Sanny Tarehe 11.02.2016

JELA MIEZI 4 KWA WIZI WA SIMU MBILI

Na.Gervas Boniveture-Mpanda Mahakama ya mwanzo   mjini Mpanda imemhukumu mtu mmoja kwenda jela miezi minne au kulipa faini ya shilingi laki moja baada ya kupatikana na kosa la wizi wa simu mbili zenye   thamani ya shilingi laki mbili.

WAZIRI MKUU APOKEA MISAADA YA MAAFA IRINGA YA SH. MILIONI 86/-

Image
Na.Afisa habari Ofisi ya Waziri Mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali yenye thamani ya sh. milioni 85.88/- kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko kwenye vijiji vya kata ya Mlenge, tarafa ya Pawaga,  wilaya ya Iringa vijijini mkoa wa Iringa.                                         

WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO BARABARANI MKOANI KATAVI WALIZWA FAINI MIL.15.6 KWA MWEZI MMOJA WATUNISHA MFUKO WA SERIKALI.

Image
Na .Issack Gerald-Katavi Jumla ya Shilingi(15,600,000) Milioni kumi na tano na laki sita zimepatikana kama tozo ya makosa 576 yaliyotokana na waendesha vyombo vya moto kukiuka sheria za usalama barabarani kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari mwaka huu.                                                 

HABARI PICHA WIKI HII KUHUSU KIKAO CHA KUPITISHA MPANGO WA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2016/2017 WILAYANI MPANDA-PICHA ZOTE NA P5 TANZANIA MEDIA

Image
Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda Bw.Estomihn Chang'a,wa pili ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Pazza Tusamale Mwamlima,wa tatu ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda na diwani wa kata ya Mpanda Ndogo  Hamadi Mpaengo na wa nne ni Msitahiki Meya Manispaa ya Mpanda na Diwani wa Kata ya Majengo Mh.Willium Philipo Mbogo wakiwa katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16 katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda. Mwenyekiti wa Kikao hicho alikuwa mkuu wa Wilaya (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpango wa bajeti mwaka wa fedha 2016/2017 kilichofanyika Februari 16,2016 Katika ukumbi wa idara ya maji Mjini Mpanda (PICHA NA Issack Gerald) Wajumbe katika kikao cha kupitisha mpang...

MATUKIO YA WIKI NDANI NA NJE YA KATAVI KUANZIA FEBRUARI 15—20,2016.

Image
MATUKIO YA WIKI NDANI NA NJE YA KATAVI KUANZIA FEBRUARI 15—20,2016. Wednesday, 17 February 2016 MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA KATAVI AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUMTOROSHA ALIYETAKA KUMUUA KWA KUKATA KIGANJA CHA MKONO MLEMAVU WA NGOZI ALBINO,WAMO PIA ASKARI MAGEREZA WAWILI WILAYANI MPANDA NA WALIOKUWA WAKITOROSHWA WADAKWA TENA. Posted By: Issack Gerald | At: Wednesday, February 17, 2016                                                                                                              

IGP MANGU ATOA AGIZO KWA MAKAMANDA WA MIKOA YOTE NCHINI KUENDESHA OPARESHENI KALI DHIDI YA BODABODA

Image
Na.Mwandihi wetu-Dar es Salaam Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu amewataka Makamanda wa Polisi kote nchini kuendesha oparesheni kali ya kuwachukulia hatua kali za kisheria waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wasiotii sheria za usalama barabarani ikiwemo kubeba abiria zaidi ya mmoja, kupita katika taa nyekundu pamoja na kutovaa kofia ngumu.                                                 IGP Ernest Mangu

MZIMU WA RUSHWA WAENDELEA KUWATESA POLISI KATAVI,ASKARI WA JESHI LA POLISI MWINGINE MBARONI KATAVI KWA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Askari wa jeshi la polisi Mkoani Katavi PC.G.451 Peter Exavery ameshitakiwa katika mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma ya kupokea rushwa ya shilingi laki moja (100,000=/) kutoka kwa mzee aliyefahamika kwa jina la Ruchege Mambalo ili kumfutia tuhuma ya mkumjeruhi mtoto wake Lutobhisha Mambalo.                                                   

AGIZO LA WAZIRI KUCHUNGUZA MALALAMIKO YA WAKULIMA WA TUMBAKU KATAVI BADO NDOTO,MRAJISI VYAMA VYA USHIRIKA KATAVI ATOA UFAFANUZI.

Na.Issack Gerald-Katavi Agizo la naibu waziri wa kilimo,mifugo na uvuvi   Mh.Willium Tate Ole Nashe la kumtaka mrajisi vya vyama vya   ushirika hapa nchini kuteua   timu ya kuchunguza malalamiko ya wakulima wa zao la tumbaku wa Chama cha Ushirika Mpanda Kati wanaolalamika kutolipwa madai yao karibu milio 600 halijatekelezwa.

MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO ATAKA WANAFUNZI WASOME MASOMO YA SAYANSI

Na.Agness Mnubi-Nsimbo. WANAFUNZI wa Shule za Sekondari katika Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani katavi wametakiwa kusoma masomo ya sayansi.

MKURUGENZI IDARA YA MAJI KATAVI ATOA MATUMAINI KWA WAKAZI WA MPANDA,MGAO WA MAJI KUWA HISTORIA

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Idara ya Maji Mkoani Katavi imesema kuwa mradi wa Orestria unaoshughulikia ukarababti na ujenzi wa mambomba na vyanzo vya maji unaotarajia kuanza mwezi ujao,kutawaondolea wananchi adha ya kukosekana kwa maji na hivyo maji kupatikana kwa saa 24 katika mji wa Mpanda.                                            Mradi wa maji wa Ikorongo wenye lita 1,000,000 moja ya chanzo cha maji kinachosambaza maji Mkoani Katavi (PICHA NA Issack Gerald) Baadhi ya Wananchi wakiwa wametembelea mradi wa maji wa Ikorongo (PICHA NA Issack Gerald)

WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUTOFANYA KAZI KWA NIDHAMU YA WOGA,MABILIONI YAOMBWA KUIDHINISHWA KUFANIKISHA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI MPANDA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Watumishi wa umma Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wametakiwa kutofanya kazi kwa nidhamu ya woga na badala yake watumie taaaluma waliyoisomea.                                         Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw.Pazza Mwamlima(PICHA NA.Issack Gerald)

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA KATAVI AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUMTOROSHA ALIYETAKA KUMUUA KWA KUKATA KIGANJA CHA MKONO MLEMAVU WA NGOZI ALBINO,WAMO PIA ASKARI MAGEREZA WAWILI WILAYANI MPANDA NA WALIOKUWA WAKITOROSHWA WADAKWA TENA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Watu watano akiwemo Mwanasheria Mkuu Mkoani Katavi Bw. Falhati Seif   Khatibu (45),wamefikishwa katika mahakama ya Wilaya ya Mpanda kwa tuhuma za kumtorosha mtuhumiwa   Alex Manyanza Enock (27) Mkazi wa majimoto aliyekuwa anakabiliwa na kesi NA. MTO/IR/76/2015 ya kujaribu kuua mlemavu wa Ngozi Albino Limi Luchoma(30) mkazi wa kijiji cha Mawiti kata ya Majimoto Wilayani Mlele.                                       

KIKAO CHA WATALAAMU,WATENDAJI NA WAKUU WA IDARA MBALIMBALI MANISPAA YA MPANDA KUFANYIKA KESHO.

Na.Issack Gerald-Mpanda Kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Mpanda kinatarajia kufanyika kesho.

MATUKIO YA WIKI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA FEBRUARI 8—13,2016.

Image
MKUU WA WILAYA YA MLELE ATOA SIKU 4 KWA MAAFISA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA NSIMBO,MPIMBWE NA MLELE WAWE WAMEKABIDHI TAARIFA YA MADAWATI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, February 09, 2016 Na. Agness Mnubi-Nsimbo MAAFISA tarafa,Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri za Nsimbo,Mlele na Mpimbwe wamepewa siku 4 za kutembelea shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika Halmashauri zao ili kubaini upungufu wa madawati.                                                  

IDARA YA ELIMU YATOA TAARIFA RASMI MFUMO MPYA WA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI KUFANYA MITHANI MWAKA 2016 MPANDA,SHULE ZISIZOSAJILIWA NJIAPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda Idara ya elimu Shule za Msingi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,imewataka wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule ambazo hazijasajiliwa mkoani katavi ikisema kuwa kuna uwezekano wa wa kupoteza pesa nyingi na wanafunzi kukosa nafasi ya kufanya mitihani mbalimbali ya shule ya msingi inayotambuliwa na Wizara ya elimu,Sayansi,Teknolojia na ufundi.

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI WAKALA WA VIPIMO TANZANIA

Image
Na.Issack Gerald SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano.                                        Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akipata maelezo bandarini jana Februari 11 kutoka kwa watendaji katika bandari hiyo

MTANDAO WA RADIO ZA JAMII (COMNETA) WAZUNGUMZIA SIKU YA RADIO DUNIANI INAYOFANYIKA FEBRUARI 13,KILA MWAKA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Mtandao wa Radio za Jamii Tanzania (COMNETA) umetoa rai kwa viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya seriklai za mitaa mpaka ngazi ya taifa,kutumia radio mara kwa mara kwa lengo la kuelimisha na kufikisha ujumbe katika jamii kuliko kiongozi kutumia radio kwa wakati Fulani kwa maslahi binafsi.                                           Mwenyekiti wa Radio za kijamii Bw.Joseph Sekiku hivi karibuni (Aliyesimama) akizungmzia masuala yanayohusu radio za kijamii Jijini Dar es Salaam

HABARI YA ASKARI WA KIKE WA USALAMA BARABARANI KUTEKETEA KWA MOTO NA MPENZI WAKE MKOANI RUKWA HII HAPA,PIA UTAJUA KILICHOTOKEA KWA WATOTO WAWILI WADOGO WALIKUWEMO

Image
Na.Issack Gerald-Rukwa ASKARI wa kike wa Usalama Barabarani, Attuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake Sunday Mhagama (36), wameteketea kwa moto baada ya nyumba walimokuwa ndani kuungua.                                                        Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa Jacob Mwaruanda (PICHA NA Issack Gerald)

RIPOTI YA PILI AJALI MTO KOGA : MIILI YA WATU WALIOKUFA MAJI MTO KOGA HADI SASA HAWAJAPATIKANA NA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Miili 5 ya watu waliozama katika mto Koga uliopo mpakani mwa Mkoa wa Tabora na Katavi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji tarehe Januari 26 ,2016 hawajapatikana pamoja na gari walilokuwa wakisafiria.                                             Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Ibrahim Hamis Msengi(PICHA NA Issack Gerald)

BWENI SHULE YA SEKONDARI YA KANISA KKKT MPANDA LATEKETEA KWA MOTO,WANAFUNZI 31 WANUSURIKA

Na.Issack Gerald-Mpanda Bweni la wavulana la Shule ya Sekondari ya Sanny inayomilikiwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeteketekea kwa moto na kuteketeza mali zote za wanafunzi.

OFISA ELIMU AKANUSHA WANAFUNZI 21 KUTIMULIWA WAKITUHUMIWA KUVAA YEBOYEBO AMBAZO PIA ZILICHOMWA MOTO.

Na.Issack Gerald WANAFUNZI wapatao 21 wanaosoma Shule ya Msingi Kilambo cha Mkolechi, Kata ya Kala mwambao mwa Ziwa Tanganyika wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa muda usiojulikana kwa kuvaa viatu maarufu yeboyebo.

UTAPELI WA FEDHA ZA WALIMU KWA MTANDAO WAENDELEA KULINDIMA KATAVI,C.W.T KATAVI YAWATAHADHARISHA WANACHAMA WAKE

Na.Issack Gerald-Mpanda Chama cha walimu Tanzania (C.W.T) Mkoani Katavi,kimetoa tahadhari kwa wanachama wa chama hicho na watumishi wengine kuwa makini kutokana na utapeli kwa kimtandao ambao umejitokeza ukifanywa na watu wasiofahamika.

MKUU WA WILAYA YA MLELE ATOA SIKU 4 KWA MAAFISA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA NSIMBO,MPIMBWE NA MLELE WAWE WAMEKABIDHI TAARIFA YA MADAWATI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI

Na. Agness Mnubi-Nsimbo MAAFISA tarafa,Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri za Nsimbo,Mlele na Mpimbwe wamepewa siku 4 za kutembelea shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika Halmashauri zao ili kubaini upungufu wa madawati.

ASILIMIA 10 YA WATANZANIA WANAMILIKI UCHUMI WA NCHI

Image
Na.Issack Gerald-Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imebuni na kuanza kutekeleza Sera ya Uwekezaji ili kufikia lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi.                                      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua  Mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji  Wananchi Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafisi nchini, Reginald Mengi baada ya kufungua mkutano wa  Wadau wa Uwezeshaji Wananchi  Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MATUKIO YA WIKI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA FEBRUARI 01—06 ,2016

Na.Issack Gerald-Katavi Monday, 1 February 2016 JAMII KATAVI YATAKIWA KUTAMBUA HAKI YA ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU Posted By: Issack Gerald | At: Monday, February 01, 2016

CHENJI YA SHILINGI 500/=MKAZI SUMBAWANGA AHUKUMIWA MIAKA 10 KWA KUUA BILA KUKUSUDIA.

Na.Issack Gerald-Sumbawanga MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha miaka 10, mkazi wa kijiji cha Kazila Lizberth Fredinad (21) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Charles Abel bila kukusudia.

HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016

Image
Na.Issack Gerald - Dodoma HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiahirisha mkutano wa pili wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bunge la 11 mjini Dodoma leo hadi Aprili 19 2016 utakapofanyika mkutano mwingine

PICHA ZA SIKU YA SHERIA DUNIANI MKOANI KATAVI

Image
Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) waliokaa ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Vijana wa sarakasi...