MGOGORO WA ENEO LA UCHIMBAJI MADINI MTAA WAELEKEA PAZURI
Na.Issack Gerald-Mpanda Mkuu wa wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima amesema mgogoro wa ardhi katika eneo la machimbo ya kokoto na madini aina ya dhahabu uliopo katika kijiji cha Kampuni unatafutiwa ufumbuzi.