RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WAPYA WA MIKOA, WAMO 13 WAPYA,Dk.MSENGI WA KATAVI AONDOLEWA ALETWA RAPHAEL MUHUGA,PAUL MAKONDA AULA DAR
Na.Issack Gerald
Rais
wa Tanzania amewateua wakuu 13 wapya wa mikoa miongoni mwa orodha mpya ya wakuu
26 wa mikoa iliyotangazwa leo na ikulu ya rais.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli |
Rais
John Pombe Magufuli amewahifadhi wakuu 13 waliokuwa katika serikali ya Jakaya
Kikwete.
Uteuzi
huo umetangazwa na katibu mkuu kiongozi, Mussa Ibrahim Iyombe.
Kwa
mujibu wa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari iliyotiwa sahihi na Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, katika ikulu, Gerson Msigwa, Viongozi hao wote
walioteuliwa wataapishwa katika hafla maalum itakayoandaliwa jumanne tarehe 15
Machi, 2016 saa tatu asubuhi jijini Dar es salaam.
Orodha ya wakuu wa mikoa
walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
ORODHA YA WAKUU WA MIKOA NA MIKOA WANAYOONGOZA
|
|
Paul Makonda
|
Dar es Salaam
|
Ezekiel Elias Kyunga
|
Geita
|
Salum Mustafa Kijuu
|
Kagera
|
Raphael Muhuga
|
Katavi
|
Emmanuel Maganga
|
Kigoma
|
Godfrey Zambi
|
Lindi
|
Dkt. Steven Kebwe
|
Morogoro
|
Zerote Steven
|
Rukwa
|
Anna Malecela Kilango
|
Shinyanga
|
Methew Mtigumwe
|
Singida
|
Antony Mataka
|
Simiyu
|
Aggrey Mwanri
|
Tabora
|
Martine Shigela
|
Tanga
|
Jordan Mungire Rugimbana
|
Dodoma
|
Said Meck Sadick
|
Kilimanjaro
|
Magesa Mulongo
|
Mara
|
Amos Gabriel Makalla
|
Mbeya
|
John Vianey Mongella
|
Mwanza
|
Daudi Felix Ntibenda
|
Arusha
|
Amina Juma Masenza
|
Iringa
|
Joel Nkaya Bendera
|
Manyara
|
Halima Omary Dendegu
|
Mtwara
|
Dkt. Rehema Nchimbi
|
Njombe
|
Evarist Ndikilo
|
Pwani
|
Said Thabit Mwambungu
|
Ruvuma
|
Chiku Galawa
|
Songwe (Mkoa mpya)
|
Comments