HALI YA UKAHABA NCHINI TANZANIA
Walikamatwa kufuatia msako unaoendelea kukomesha biashara
hiyo ambayo haikubaliki kwa mujibu wa sheria nchini humo.
Hii ni idadi kubwa kuwahi kukamatwa katika vita dhidi ya
biashara ya ukahaba nchini humo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro |
Wengi walikamatwa maeneo ya Kinondoni, Temeke na Ilala 51.
Kamishna wa polisi wa kanda maalum ya Dar es Salaam Simon
Sirro amesema wengi wa majambazi hukimbilia kwa biashara ya ukahaba.
“Kuwakamata na kuwahoji kunasaidia kupata mambo mengi sana
kuhusiana na haya (uhalifu), hata madawa ya kulevya pia. Wengi unakuta wanajua
watu wanaoyatumia, wengine wanashiriki,” aliambia wanahabari.
Aliwaomba wananchi kuwasiadia maafisa wa polisi katika
operesheni hiyo.
Comments