WAKULIMA MKOANI KIGOMA WAPEWA ELIMU YA KUENDESHA KILIMO BORA



Halmashuri ya Kigoma vijijini ikishirikiana na Shirika la maendeleo la vijana Tanzania la nyakitonto limeendesha semina ya kilimo cha mihogo,maharage na mahindi katika kata ya Nkungwe halmashuri ya Kigoma Ujiji.
Kwa mjibu wa katibu washirika la Nyakitonto la mendeleo ya vijana wa Tanzania Teoneste Tereba amesema wakulima wengi wadogo wadogo wamekua na desturi za kulima kilimo cha mazoea kwa kutumia mbegu ambazo zisizokuwa na ubora ikiwa ni pamoja na kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya matumizi sahihi ya mbolea jambo.
Aidha Tereba amesema hali hiyo imesababisha itasaidia kuboresha kipato,uhakika wa chakula na hali za wakulima wa maharage mahindi na mhogo kwa mkoa wa kigoma kuwa katika ubora.
Kwa upande wao Mikidadi Mbaruku ambaye afisa kilimo halmshauri ya Kigoma vijijini na Silyvesta Mchafu ambaye ni afisa kilimo kata ya Nkungwe wamesema watakuwa bega kwa began a wakulima hukuwa wakiwashauri wakulima kutumia elimu wanayopewa katika kuleta mabadiliko katika sekta ya kilimo.
Kwa upande wao wakulima wa mazao hayo,wamelipongeza shirika hilo na kusema kuwa elimu amabyo wameipata itawasaidia kuboresha kilimo.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA