Posts

Showing posts from August, 2016

RPC KATAVI : JESHI LA POLISI LIMEJIANDAA KUWADHIBITI WAANDAMANAJI OPARESHENI UKUTA,VYAMA VILIVYOKUWA VIMEPANGA KUANDAMANA VYAAHIRISHA MAANDAMANO

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi JESHI la Polisi Mkoani Katavi lilikuwa limesema limefanya maandalizi ya kutosha kuwadhibiti watu,kikundi au vyama vya siasa ambavyo vingefanya maandamano kesho Septemba mosi. Viongozi wa upinzani wakati wa kikao na wanahabari Dar es Salaam ACP Damasi Nyanda Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 31,2016                                           

RPC NYANDA KATAVI LEO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAANDAMANO YA OPARESHENI UKUTA SEPTEMBA MOSI.

Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi KAMANDA wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi ASP Damasi Nyanda leo anatarajia kukutana na waandishi wa habari Mkoani Katavi kuzungumzia mandamano ya Opareshen Ukuta yanayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema.

WAFANYABIASAHARA MANISPAA YA MPANDA WAPEWA SIKU 6 KUONDOKA MASOKO YASIYO RASMI KABLA YA NGUVU KUTUMIKA.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WANANCHI wanaofanya biashara katika masoko yasiyo rasmi Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,wametakiwa kuondoka na bidhaa zao wenyewe kwa hiari kabla ya Septemba 5 mwaka huu kuondolewa kwa nguvu. Katika Picha Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Mpanda Bw.Michael Nzyungu(PICHA NA.Issack Gerald) Miongoni mwa wafanyabishara wanaopigwa marufuku soko lisilo rasmi lililopo Ujenzi Machinjioni Mpanda hotel.                                                    

MKUU WA WILAYA TANGANYIKA AONYA WATAKAOANDAMANA OPARESHENI UKUTA SEPTEMBA MOSI,ASEMA OPARESHENI UKUTA IWE NI KUJENGA MADARASA,KUTENGENEZA MADAWATI NA SHUGHULI NYINGINE ZA MAENDELEO.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi Saleh Mbwana Mhando,ametoa onyo kwa wananchi na wanachama wa vyama vya siasa watakaofanya maandamano ya Opareshen Ukuta katika Wilaya hiyo yanayotarajia kuanza Septemba mosi.  Mkuu wa Wilaya ya Tanganyiika Saleh Mhando                                        

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AKAZA MWENDO KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KATIKA WILAYA YAKE

Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh.Saleh Muhando ameahidi kulishughulikia swala la mgogoro wa ardhi katika eneo la Lyamgoroka eneo ambalo linaonekana kuwa limeuzwa na   mwenyekiti wa kijiji hicho    kinyume cha sheria ya ardhi.

WANAUME WATAJWA KUWA MIONGONI MWA SABABU ZINAZOCHANGIA KUONGEZEKA VVU KATAVI

  Na.Richard Sokoni-Mpanda Imebainika kuwa   ongezeko la   maambukizi ya virus vya ukimwi (VVU) kunatokana   na   baadhi ya mwanaume   kutojitokeza kupima afya zao sanjari na wenzi wao .

VIJANA WATII AGIZO LA MKURUGENZI WA MANISPAA KUTOSAFISHA VYOMBO VYA USAFIRI KATIKA VYANZO VYA MAJI

Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda Vijana na watu waliokuwa wakitumia mto Mpanda eneo la daraja linalotenganisha Kata ya Mpanda Hotel na Misunkumilo kusafisha magari na vyombo vingine vya usafiri,wamesitisha shughuli hiyo kutii agizo la mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda akiwataka kutofanya shughul hiyo kwa lengo la kulinda vyanzo vya maji.

JESHI LA POLISI MKOANI KATAVI WAFANYA MAZOEZI KUPAMBANA NA UHARIFU,WANANCHI MITAANI WAKUMBWA NA TAHARUKI.

Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi JESHI la Polisi Mkoani Katavi limetoa onyo kwa watu watakaosababisha ukosefu wa amani katika Mkoa wa Katavi likisema kuwa halitawafumbia macho watu hao na badala yake Jeshi hilo litachukua hatua kali za kisheria kukomesha vitendo vya uharifu.

TRA RUKWA NA KATAVI YAENDESHA SEMINA KUHUSU MFUMO MPYA ULIPAJI KODI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WAFANYABIASAHARA mikoa ya Rukwa na Katavi wametakiwa kutofumbia macho vikwazo vinavyotokana na mfumo mpya wa ulipaji kodi na badala yake watoe taarifa na maoni ili kuangalia kama kuna uwezekano wa kuondoa vikwazo hivyo ili wafanye biashara zao kwa uhuru.                               

YA WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KAVUU MKOANI KATAVI ISIKUPITE HII HAPA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja la Kavuu linalojengwa na kampuni ya Nandra Engineering and Construction Ltd ya mkoani Morogoro na kumtaka mkandarasi huyo kulikamilisha haraka. Daraja la Mto Kavuu linalojengwa(Na.Issack Gerald)                                           

WAKURUGENZI WATAKIWA KUWAHAMASISHA WALIMU KUJIENDELEZA KIELIMU

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wa halmashauri na Maofisa Elimu nchini kutowaondoa katika nyadhifa zao Waratibu wa Elimu Kata na Wakuu wa shule za sekondari wasiokuwa na shahada, walimu wakuu wa shule za msingi wasiokuwa na diploma badala yake wawahamasishe kwenda kusoma.                                            

TATIZO LA MAJI SUMBAWANGA RUKWA KUWA HISTORIA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa inatarajiwa kupata huduma ya maji safi na salama kuanzia mwezi ujao baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji uliokuwa unajengwa.                                   

WAZIRI MKUU ATOA SIKU MBILI KWA MAOFISA ARDHI KUMALIZA KERO ZA WANANCHI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Mkuu wa Idara ya Ardhi na Miundombinu wa mkoa wa Rukwa pamoja na Ofisa Ardhi wa Manispaa ya Sumbawanga kutatua matatizo ya ardhi yanayowakabili wakazi wa Manispaa hiyo. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Mkoani Rukwa                                                  

WAZIRI MKUU WILAYANI SUMBAWANGA : WATUMISHI WATAKAOKULA FEDHA ZA CHF WAFUKUZWE KAZI NA NA WAFIKISHWE MAHAKAMANI

Image
Na.Issack Gerald Bathromo-Sumbawanga Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa watumishi wote wa sekta ya afya watakaobainika kula fedha zinazochangwa na wananchi kwa ajili ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).                                      

ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI RUKWA : HAKUNA MWANASIASA ATAKAYERUHUSIWA KUVURUGA AMANI

Image
Na.Issack Gerald Bathromo- Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inalinda amani ya nchi kwa gharama zozote na kamwe haitoruhusu mwanasiasa yeyote kusababisha vurugu zitakazochochea uvunjifu wa amani. Waziri Mkuu akiwa Viwanja vya sabasaba Wilayani Nkasi Rukwa(PICHA NA.Issack Gerald) Agosti 23,2016                                              

WAKAZI WA KATA YA KAYENZE MKOANI MWANZA WAOMBA KUJENGEWA SEKONDARI YA KATA.

Image
Na.Albert Kavano-Mwanza. Wakazi wa Kata ya Kayenze Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wameiiomba serikali kuwajengea shule ya sekondari ya kata  kutokana na wanafunzi kutembea umbali wa zaidi kilometa 10 kutafuta elimu  kata jirani ya Sangabuye. Mandari Jiji la Mwanza                                  

WAZIRI MKUU WILAYANI NKASI : ATAKAYEVAMIA MSITU FAINI MIL. 70, JELA MIAKA SABA

Na.Issack Gerald Bathromo-Nkasi Rukwa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mtu yeyote atakayekutwa na hatia ya kuvunja sheria kwa kuvamia na kuharibu mazingira ya msitu wa Mfili ambao ndiyo chanzo pekee cha maji cha Wilayani Nkasi atatozwa faini ya sh. milioni 70 pamoja na kifungo miaka saba jela.

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI MLELE :FANYENI UKAGUZI KUBAINI WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA NA KUWACHUKULIA HATUA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Inyonga Mlele WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Mkuu wa Mkoa Katavi, Meja Jenerali (Mstaafu) Raphael Muhuga kupeleka wakaguzi wilayani Mlele na kubaini watu waliokula fedha za chama cha ushirika cha Ukonongo na kuwachukulia hatua. Waziri Mkuu akiwa ziarani Inyonga wilayani Mlele baada ya kutawazwa kuwa Chifu wa Wakonongo(PICHA NA.Issack Gerald)                                              

ZIARA YA WAZIRI MKUU WILAYANI TANGANYIKA : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAGIZA KUONDOLEWA WATU WALIOVAMIA MAENEO YALIYOHIFADHIWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kuhakikisha unawaondoa watu wote wanaoishi katika maeneo ya hifadhi na ushoroba  wa wanyama  wa Lyamgoroka . WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa                                                   

WATENDAJI WA HALMASHAURI MKOANI KATAVI WATAKAOCHEZEA FEDHA ZA MAENDELEO KUUNGUZWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa halmashauri mkoani Katavi kuwa makini na matumizi ya fedha za maendeleo zinazopelekwa katika maeneo yao na atakayethubutu kuzichezea zitamuunguza. Waziri Mkuu akiwapungi amkono wananchi  

WATANZANIA WAPYA MAKAZI YA KATUMBA WILAYANI MPANDA WATAKAOTUMIA VIBAYA URAIA WALIOPEWA KUNYANG’ANYWA URAIA HUO.

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Makazi ya Wakimbizi ya Katumba mkoani Katavi, Bwana Igwe baada ya kuwasili kambini hapo kuzunguma na wananchi akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. Wapili kulia ni mkewe Mary. (Picha na Issack Gerald Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Katumba mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Baadhi ya baiskeli za wananchi wa kijiji cha Katumba wilayani Mpanda wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano wa hadhara kijijini hapo akiwa katika ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mnara uliojengwa na wakimbizi waliopewa uraia wa Tanzania ili kumshukuru Mungu kwa kupewa urais huo wakati alipokitembelea kijiji Katumba mkoani Katavi Agosti 21, 2016. K

WAZIRI MKUU AAGIZA HATUA ZICHULIWE KWA WATUMISHI NCHINI WANAOIBA DAWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwachukulia hatua watumishi wote wa sekta ya afya wanaojihusisha na wizi wa dawa. Waziri Mkuu,Kassim Majlaiwa na mkewe Mary wakitazama watoto mapacha wa kiume waliozaliwa na  Bi Sikudhani Raashidi usiku wa kuamkia Agosti 21, 2016 katika hospitali ya wilaya ya Mpanda wakati walipoiembelea Agosti21, 2016. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mbunge wa Viti Maalum, Anna Lupembe. (Picha na Issack Gerald)Agosti 20,2016 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea hospitali ya wilaya ya Mpanda akiwa katika siku ya kwanza ya ziara ya mkoa wa Katavi Agosti 21, 2016. (Picha na Issack Gerald)Agosti 20,2016                                            

NAMNA WAZIRI MKUU WA TANZANIA KASSIM MAJALIWA ALIVYOWASILI NA KUPOKELEWA MKOANI KATAVI

Image
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyowasili Mkoani Katavi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishuka katika ndege na akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza kumpokea uwanja wa wa ndege Mpanda (PICHA NA .Issack Gerald) Agosti 20,2016                                                       Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Vijana baada ya kupokelewa uwanja wa ndege(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016                                                                                        Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majliwa akisalimiana na wa wananchi waliojitokeza kumpokea (PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016                                                                                   Waziri Mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majliwa akisalimiana na wa wananchi waliojitokeza kumpokea (PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 20,2016                                                                                

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AZIAGIZA MAMLAKA ZA ARDHI VIJIJI VYA KAMILALA NA KATUMA KUWEKEANA MIPAKA YA KUDUMU KUONDOA MIGOGORO YA ARDHI.

Na.Judica Sichone-Tanganyika Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh Saleh Mhando aziagiza mamlaka za ardhi katika kijiji cha Kamilala na Katuma kuhakikisha wanaweka mipaka ya kudumu haraka iwezekanavyo ili kuondokana na migogogro ya ardhi.

WATANO KATAVI WAHUKUMIWA MIAKA 5-20 KWA TUHUMA ZA NYARA ZA SERIKALI,MWINGINE AACHIWA HURU,WAKILI WAO ASEMA WATAKATA RUFAA

Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya wilaya mkoani Katavi imewahukumu watu 5 miaka 5 hadi 20   na mmoja kuachiwa huru waliokuwa wakikabiliwa na   makosa matatu tofauti likiwemo la kukutwa na nyara za serikali bila kibali.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWASILI KATAVI KESHO,WANAKATAVI WAOMBWA KUJITOKEZA KUMPOKEA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga   ametoa rai kwa wananchi Mkoani Katavi kujitokeza kwa wingi kumpokea waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa anayetarajia kuwasili kesho kwa ndege Mkoani Katavi kwa Ziara ya kikazi ya siku nne. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald) Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa(PICHA NA.Issack Gerald)                                          

AFISA MTENDAJI WA KIJIJI APEWA WIKI MBILI KUWAONDOA WAKAZI WALIOVAMIA MISITU NA KUFANYA MAKAZI,MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA PIA AZUNGUMZIA ZIARA YA WAZIRI MKUU KATIKA WILAYA YAKE

Na.Issack Gerald Bathromeo MKUU wa wilaya ya Tanganyika Saleh Muhando ametoa wiki mbili kwa Afisa mtendaji wa kijiji cha Mpembe kata ya Katuma kuhakikisha anawaondoa wananchi waliovamia misitu na   kufanya makazi.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUANZA ZIARA KATAVI JUMAMOSI HII,KUTEMBELEA MAJIMBO YOTE MATANO YA MKOA WA KATAVI,SEHEMU YA RATIBA P5 TANZANIA IMEKUSOGEZEA HII HAPA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi Mkoani Katavi. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa                                        

HALMSHAURI ZA WILAYA YA MPANDA NA TANGANYIKA ZATAKIWA KUTENGA 5% YA MAPATO KWA AJILI YA WAJASILIMALI VIJANA

Image
Na.Richard Mbeho-Mpanda HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda na Tanganyika zimetakiwa   kutenga asilimia 5 za mapato ya ndani kwa ajili ya kuwasaidia vijana kuanzisha miradi mbalimbali itakayo wawezesha kujikwamua kiuchumi. Baadhi ya vijana Wilaya za Tanganyika na Mpanda wakiwa kati mikutano ya hadhara(PICHA NA.Issack Gerald)                                                         

WAJASILIMALI KATAVI WATAKIWA KUTUMIA ELIMU YA UJASILIMALI WANAYOPATA KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO KUJIKWAMUA KIMAISHA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WAJASILIAMALI wametakiwa kutumia elimu ya ujasiliamali wanayopewa katika mafunzo ili kujikwamua kimaisha. Wajasilimali wanawake baada ya somo la mafunzo ya ujasiliamali(PICH ANA.Issack Gerald)                                               

WANNE MBARONI KWA UUZAJI WA GONGO NA BANGI KATAVI

WATU wanne mkoani Katavi wamekamatwa kwa makosa tofauti likiwemo la uuzaji wa Gongo   na debe moja la Bangi.

NAIBU WAZIRI JAFO AZINDUA MRADI WA MAJI NSIMBO WILAYANI MLELE

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Naibu  Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa(Tamisemi), Mh.Selemani Jafo akiwa na mwenyeji wake Mbunge wa Jimbo la Nsimbo  Richard Mbogo amezindua mradi mkubwa wa maji Katika kijiji cha mwenge.                                                 

KATIBU TAWALA MKOA WA KATAVI AAGIZWA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA KUMHUSU AFISA MIPANGO MANISPAA YA MPANDA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Naibu Waziri Suleiman Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na wakandarasi wanaojenga stendi ya mabasi mpanda. (PICHA NA.Issack Gerald) NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa(Tamisemi),Selemani Jafo ameendelea na ziara yake leo mkoani Katavi ambapo amemuagiza Afisa Tawala wa Mkoa wa Katavi kuunda timu ya uchunguzi ili  kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa Afisa Mipango miji wa Manispaa ya Mpanda ambapo anatuhumiwa kuchukua maeneo ya wananchi bila utaratibu. Naibu Waziri Suleiman Jafo akiwa na walimu wa shule ya sekondari Kabunga(PICHA NA.Issack Gerald)                                               

MCHUNGAJI MORAVIAN JELA MIAKA 20 KWA MENO YA TEMBO

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi MAHAKAMA ya Mkoa wa Katavi imemhukumu Mchungaji wa Kanisa la Moravian kijijini Usevya wilayani Mlele, Godwel Siame, kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi la kukutwa na meno ya tembo ya uzito wa kilo 20 yenye thamani ya Sh milioni 90. Meno ya Tembo                                                       

TRA RUKWA,KATAVI,MBEYA,SONGWE,RUVUMA NA IRINGA WATAKIWA KUIMARISHA KITENGO CHA TAHMINI KODI ISIYOMGANDAMIZA MFANYABISHARA

Na.Ofisi ya mwasiliano ya Waziri Mkuu  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa imeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania kuimarisha kitengo cha tathmini ili kuweka viwango halali ambavyo havitawagandamiza wafanyabiashara na uwepo uwazi kuhusu viwango stahili vya kodi wanavyotakiwa kulipa.

BREAKING NEWS:SERIKALI YA WILAYA YA TANGANYIKA YAOMBA RADHI MAMA MJAMZITO KUJIFUNGULIA NJE AKIWA MBELE ZAHANATI IKIWA IMEFUNGWA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Serakali ya wilaya ya Tanganyika imeomba radhi wakazi wa kijiji na kata ya Ipwaga kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika kwa kitendo cha mama mjamzito kujifungulia nje akiwa mbele ya zahanati baada ya kufikishwa kituoni hapo kutokana na kituo hicho kufungwa na muuguzi akiwa hayupo.                                            Zahanati ya Ipwaga ambayo mama mjamzito alijifungulia nje baada ya kufikishwa hapo(PICHA.Issack Gerald)

UNHCR WATOA MSAADA WA GARI LA MILIONI 78,732,000 KITUO CHA AFYA MISHAMO,WANANCHI HALMSHAURI WATAKIWA KULITUNZA NA KULITUMIA KATIKA MALENGO HUSIKA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Shirika la kimataifa linalojishughulisha na kusaidia wakimbizi duniani UNHCR,limetoa msaada wa gari la wagonjwa kwa kituo cha afya cha Mishamo kilichopo kata ya Mishamo tarafa ya Mishamo Wilaya Mpya ya Tanganyika Mkoani Katavi. Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Salehe Mbwana Mhando akiwasalimia wagonjwa katika kituo cha afya cha Mishamo(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 5,2016 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Salehe Mbwana Mhando mwenye suti nyeusi akizungumza na (katikati) ni Mkuu wa Kituo cha Polisi Mishamo.Mkuu wa kituo Polisi Mishamo anaitwaOCS Ispecta MatongoMashaka na aliye kulia ni Afisa wa upelelezi Wilaya ya Tanganyika(PICHA NAIssack Gerald)Agosti 5,2016 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Salehe Mbwana Mhando akitoka ndani ya Kituo cha afya Mishamo kusalimia wagonjwa(PICHA NAIssack Gerald)Agosti 5,2016                                    

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA AFUTA RASMI USHURU,YEYE NA MKURUGENZI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA WAACHA NAMBA ZA SIMU KWA WANANCHI ILI WAPOKEE KERO ZA WANANCHI HATA KWA SIMU

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Tanganyika  Saleh Mbwana Mhando ametangaza rasmi kufuta ushuru kwa fanyabiashara wadogo kwa wakazi wa Wilaya ya Tanganyika kama Rais wa Jamhuri ya Muungano alivyoagiza kufuta ushuru unaomkandamiza mwananchi. Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Ipwaga wakimpokea Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Salehe Mbwana Mhando mara baadha ya kuwasili kijiji cha Ipwaaga(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 5,2016 Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Bw.Salehe Mbwana Mhando akisaini katika kitabu cha wageni Kijiji Ipwaga(PICHA NA.Issack Gerald)Agost  5,2016                           

MGOGORO WA ARDHI KIJIJI CHA TUMAINI WILAYANI MPANDA WATOKOTA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda Serikali ya kijiji cha Tumaini Halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mpanda mkoani Katavi,imewalalamikia watu wanaowatishia maisha kwa madai kuwa kijiji hicho kinataka kuwanyang’anya ardhi yao. Viongozi wa serikali ya kijiji cha Tumaini katika picha ya pamoja,wa tatu kutoka kushoto ni mwenyekiti wa kijiji Bw.Billu Bukwaya na wakwanza kutoka kushoto(mwenye shati nyeupe) ni  mwenyekiti wa kitongoji cha Tulieni na wengine waliobaki ni wajumbe wa kamati ya ardhi ya Kijiji cha Tumaini(PICHA NA.Issack Gerald)

WALIMU MKOANI KATAVI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UTAPELI UNAOWAANDAMA,WALIMU WASTAAFU WAPEWA MSAADA WA MABATI 120

Na.Judica Schone-Mpanda WALIMU mkoani Katavi wametakiwa kuepuka kutapeliwa na watu   wanaowalaghai pindi wanapopata mafao yao.

KIJIJI CHA MAJALILA SASA MAKAO MAKUU RASMI YA HALMASHAURI YA WILAYA MPYA YA TANGANYIKA

Na.Issack Gerald Bathromeo-Tanganyika Kijiji cha Majalila kilichopo kata ya Tongwe Halmshauri Mpya ya Tanganyika Mkoani Katavi, kimetangazwa Rasmi kuwa Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

WAKUU WA IDARA ZA ARDHI MKOANI MWANZA OFISINI HAPAKALIKI,JINO KWA JINO KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

Image
Na.Albert Kavano-Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw John Mongera Leo amezindua  program ya kushughulikia Migogoro ya ardhi mkoani humo na kuagiza  wakuu wa idara ya ardhi kutotoka nje ya wilaya wala kuingia ofisini siku ya jumanne badala yake wakae na kutatua migogoro hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw.John Mongera                 

WALIOANZISHA MAKAZI KIHOLELA KATIKA HIFADHI ZA MISITU MKOANI KATAVI KUONDOLEWA KWA NGUVU,WAKUU WA WILAYA WAPEWA RUNGU NA MKUU WA MKOA

Image
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake(Hawapo pichani)(PICHA NA.Issack Gerald) Agosti 3,2016 Waandishi wa habari Mkoani Katavi wakiwa katika kikao na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald)Agosti 3,2016                              Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Manispaa ya Mpanda.Safu yote ya chini ni Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na watumishi wake ambapo Safu ya Juu ni Ofisi za Halmshauri ya Manispaa ya Mpanda na watumishi wake(PCHA NA.Issack Gerald) Agosti 3,2016                                                         Na.Issack Gerald Bathromeo Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga ametoa agizo wa wakazi Mkoani Katavi wanaoishi katika hifadhi za wanyama,misitu ya hifadhi na maeneo yasiyo rasmi kuondoka wenyewe kwa hiari kabla ya kuondolewa kwa nguvu.