Posts

Showing posts from March 16, 2016

HALI YA UKAHABA NCHINI TANZANIA

Image
Wasichana wapatao 500 wanaodaiwa kufanya biashara ya ukahaba nchini Tanzania pamoja na wateja wao zaidi ya 200 wanashikiliwa na polisi nchini. Walikamatwa kufuatia msako unaoendelea kukomesha biashara hiyo ambayo haikubaliki kwa mujibu wa sheria nchini humo. Hii ni idadi kubwa kuwahi kukamatwa katika vita dhidi ya biashara ya ukahaba nchini humo.                                                      Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro

WANANCHI KATAVI WAPONGEZA HOTUBA YA RAIS

Image
Na.Issack Gerald-Katavi BAADHI Ya wakazi Mkoani Katavi wamepongeza agizo la   Rais John Pombe Magufuli kwa wakuu wa Mikoa Kuhakikisha Kila mtanzania anafanya Kazi.                                                   Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi