Moja ya bucha manispaa ya Mpanda Watu wakijipatia kitoweo baada ya machnjio kufunguliwa jana Benezeti Kusaya mwenyekiti wa wafanyakazi machinjioni Jengo la machinjio Mpanda Nembo ya mamlaka ya chakula na dawa Tanzania TFDA iliyokuwa imebandikwa katika kuta za machinjio baada ya machinjio hayo kufungwa Mazingira ya machinjio Sehemu wanakopanga nyama asubuhi Vijana baada ya kikao cha kuhamasisha usafi machinjioni Shimo la kutunza uchafu machinjioni lililokuwa limejaa na kuanza kutiririsha uchafu mtoni