Posts

Showing posts from December 8, 2015

WANANCHI MKOANI KATAVI WATAKIWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Na.Issack Gerald-MPANDA. WANANCHI Mkoani Katavi wametakiwa kujitokeza kwa hiari ili kuchangia damu Salama.

BREAKING NEWS : VIONGOZI CHADEMA WILAYANI MPANDA WABWAGA MANYANGA

Na.Issack Gerald-MPANDA . BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wamejiuzuru wadhifa wao kutokana na usaliti   ndani ya chama uliotokea   kipindi cha uchaguzi mkuu wa ubunge urais na madiwani Oktoba 25 mwaka huu.