Posts

Showing posts from March 10, 2016

UJUMBE WA VIONGOZI WA KITAIFA MRADI WA ELIMU JUMUISHI WAWASILI KATAVI KWA ZIARA,WAZUNGUMZA NA KAMATI YA KULEA BALAZA LA WATOTO CHANGAMOTO ZAIBULIWA

NA.Issack Gerald-Mpanda Katavi Kamati ya kulea balaza la watoto wanaoishi katika mazingira magumu yenye mradi ujulikano kama mradi wa elimu Jumuishi Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamekutana leo na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalumu.

ZIARA ZA WABUNGE WA KATAVI ZASHIKA KASI KATAVI,MBUNGE VITI MAALUMU ACHANGIA SOLA KITUO CHA AFYA MPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda Kituo cha afya cha Mwangaza kinachomilikwa na manispaa ya Mpanda mkoa wa katavi kimekuwa na changamoto mbalimbali   ikiwemo kukosekana kwa vitendea kazi na kupelekea wagonjwa kukosa humuma iliyo bora.

ONA HUU UTUMBUAJI MAJIPU RUKWA,KESHO WAPI?ENDELEA KUFUATILIA P5 TANZANIA MEDIA

Image
Sumbawanga WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewasimamisha kazi maofisa watano wa Idara ya Misitu mkoani Rukwa kwa kushindwa kusimamia vema na kudhibiti uvunaji haramu wa magogo.        Baadhi ya magogo yaliyopelekea utumbuaji majipu kufanyika(PICHA NA.Issack Gerald)