Posts

Showing posts from November 13, 2015

UKEKETAJI WA WANAWAKE WAPUNGUA LOLIONDO ARUSHA

Image
  Pichani ni mjumuiko wa wakunga wa Jadi, Waganga wa tiba asili, viongozi wa dini, waandishi wa habari na wahamasishaji afya jamii wanaohudhuria warsha hiyo inayoendelea wilayani Ngorongoro. Washiriki wa warsha hiyo wakiwa kwenye kazi za vikundi. Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ambaye pia ni Afisa Maendeleo ya Jamii, Teresia Irafay akifungua warsha ya wiki moja ya mafunzo juu ya elimu ya Afya ya Uzazi na Maadili iliyojumuisha wakunga wa Jadi, Waganga wa tiba asili, viongozi wa dini, waandishi wa habari na wahamasishaji afya jamii iliyowaleta pamoja wadau mbalimbali katika ngazi ya vitongoji, vijiji na wilaya kujifunza namna ya kufanya kazi shirikishi ili kuleta mabadiliko katika jamii inayofanyika katika hoteli ya Domel-Wasso, tarafa ya Lolilondo katika wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha. Na.Mwandisi waetu-ARUSHA IDADI ya wanawake wanaokeketwa Loliondo wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha,imepungua kufikia asilimia 7

WABUNGE WATEULE WA BUNGE LA TANZANIA KUANZA KUSAJILIWA LEO

Image
  Baadhi ya wabunge la Tanzania wakiangalia mandhali ukumbi  bungeni Mjini Dodoma Na.Mwandishi wetu-DODOMA Wabunge wateule wa bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatarajia kujisajili leo tayari kwa vikao muhimu vya kwanza vya Bunge wiki ijayo.

WATANZANIA WAISHIO NCHINI THAILANDA WACHAGUA VIONGOZI WAO

Image
  Watanzania waishio mjini Bangkok nchini Thailand wakipata chakula baada ya kufanya uchaguzi Na.Mwandishi.BANGKOK Jumuiya ya watanzania waishio nchini Thailand (TIT) imekutana na kujadiliana mambo mbalimbali ya jinsi gani wanaweza kusaidiana katika mambo mbalimbali.