Posts

Showing posts from April 29, 2016

JERA MIAKA 7 MPANDA KWA KUJIPATIA FEDHA KWA UDANYANYIFU

MAHAKAMA   ya mwanzo mjini Mpanda imemuhukumu mtu     mmoja kwenda jela miaka saba   kwa kukutwa na hatia ya kujipaia fedha kwa njia ya udanganyifu.

MKUU WA WILAYA YA MPANDA APOKEA MSAADA WA MADAWATI 100.

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Bw. Pazza Mwamlima amepokea madawati 100 yenye thamani ya Shilingi milioni saba na nusu ili kusaidia kutatua changamoto ya uhaba wa madawati kwa shule za Wilaya ya Mpanda.

HALMASHAURI KATAVI ZATAKIWA KUTENGA BAJETI KUSAIDIA KAYA MASKINI BIMA YA AFYA

MKUU wa mkoa wa Katavi Meja   Jeneral Mstaafu   Raphael Muhuga,amezitaka   Halmashauri zote za mkoa wa Katavi kutenga fungu katika bajeti zake na kuzilipia kaya maskini ili zinufaike na mfuko wa jamii CHF.

WAKULIMA CHAMA CHA USHIRIKA CHA MSINGI MPANDA KATI WAHAKIKISHIWA MALIPO YA MAUZO YA TUMBAKU ASILIMIA 100.

Na.Issack Gerald-Katavi Wakulima wa zao la tumbaku wa chama cha msingi cha ushirika Mpanda Kati Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamehakikishiwa kulipwa asilimia 100 ya uuzaji wa zao hilo, kwa msimu wa mauzo ya 2015/2016.