JERA MIAKA 7 MPANDA KWA KUJIPATIA FEDHA KWA UDANYANYIFU


MAHAKAMA  ya mwanzo mjini Mpanda imemuhukumu mtu    mmoja kwenda jela miaka saba  kwa kukutwa na hatia ya kujipaia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Akitoa hukumu hiyo,hakimu mkazi wa mahakama hiyo Bw Silivesta Makombe,amemtaja mtuhumiwa kuwa ni Bw Asubisye  Mangonda  (54)  mkazi wa Kawajense.
Makombe amesema,mshtakiwa alijipatian kiasi cha shilingi milioni mbili kwa kumuuzia shamba Dominiki Pesambili mkazi wa Kasimba ambalo halikuwa mali yake halali.
Kufuatia hukumu hiyo,mahakama  imetoa onyo kali kwa watu wenye tabia kama hiyo,kwani  kufanya hivyo ni kinyume na sheria  za nchi .
 Mwandishi:Esther Lameck
Mhariri :Issack Gerald
Endelea kufuatilia P5 TANZANIA MEDIA

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA