Posts

Showing posts from January, 2017

WAKAZI KITONGOJI CHA KAMINI HALMASHAURI YA NSIMBO WAOMBA OPARESHENI YA KUWAONDOA KATIKA ENEO LA HIFADHI ISITISHWE.

Na.Issack Gerald-Mpanda-Januari 30,2017 WAKAZI wa kitongoji cha Kamini kilichopo kata ya Ugalla wilayani Mpanda Mkoani Katavi,wamwasilisha barua katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo wakiomba Oparesheni ya kuwaondoa katika kitongoji hicho isitishwe kwa madai kuwa mipaka kati ya kitongoji hicho na misitu ya hifadhi haikufuata taratibu na mipaka kukosewa.

NSIMBO HAINA WATOTO WA MITAANI INA WAISHIO MAZINGIRA HATARISHI

Na.Issack Gerald-Katavi-Januari 30,2017 Halmashauri ya Wilaya Nsimbo mkoani Katavi imesema kuwa haina watoto ombaomba wa mitaani badala yake ina watoto waishio katika mazingira magumu.

UZINDUZI SHEREHE ZA MIAKA 40 YA CCM ZAFANYIKA KATUMBA,KITUO CHA AFYA KATUMBA DAWA,MAJI BADO TATIZO

Na.Issack Gerald-Katavi-Januari 30,2017 WANACHAMA wa chama cha Mapinduzi CCM mkoani Katavi wametakiwa kuendelea kuwa na umoja,ushirikiano na mshikamano ndani ya chama na katika shughuli za maendeleo ya jamii.

WANAFUNZI WA MAFUNZO YA UFUNDI SHULE YA MSINGI MTAPENDA HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO WAPOKEA VIFAA VYA UFUNDI

Na.Issack Gerald-Katavi-Januari 30,2017 DARASA linaloendesha shughuli mbalimbali za ufundi katika Shule ya Msingi Mtapenda Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi,limekabidhiwa vifaa mbalimbali vya ufundi vikiwemo vifaa vya ujenzi,ufundi seremara   na vyerehani vyenye thamani ya shilingi milioni 1,480,000.

HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAOMBA KUIDHINISHIWA SHILINGI BIL.24.9 MWAKA WA FEDHA 2017/2018

Na.Issack Gerald-Nsimbo Katavi HALMASHAURI ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mpanda Mkoani Katavi,imeomba kuithinishiwa na serikali kuu shilingi Bilioni 24,886 ,569,000.