Posts

Showing posts from November 21, 2017

RAIS MAGUFULI AWAONYA MASHA NA MSANDO,SOFIA SIMBA NAYE ASAMEHEWA WOTE WARUHUSIWA KUGOMBEA NYADHIFA MBALIMBALI NDANI YA CHAMA

Image
Na.Issack Gerald Mwenyekiti wa CCM Rais John Magufuli Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Rais John Pombe Magufuli amewaonya wanachama wapya ambao wamehamia ndani ya chama hicho leo kwenye mkutano mkuu wa NEC ambao umefanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka Kulia ni Bw.Laurenance Masha na anayefuata ni Alberto Msando Wanachama hao ambao wamehamia na kutangazwa leo ni Mwanasheria Alberto Msando aliyekuwa mwanachama wa ACT-Wazalendo,Mbunge wa zamani wa Nyamagana Laurent Masha aliyekuwa mwanachama wa Chadema pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema taifa Patrobas Katambi. Wengine ni Profesa Kitila Mkumbo ambaye naye alikuwa mwanachama wa ACT-Wazalendo pamoja na Sophia Simba ambaye ameomba kurejeshewa uanachama baada ya kufukuzwa kwa muda. Rais Magufuli amemaliza kwa kuwapa ruhusa ya kugombea nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na kwenye maeneo yao. Kwa upande wake aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Lawrence Masha ambaye ametangaza kukihama chama hiko hivi ka