Posts

Showing posts from January 6, 2016

BREAKING NEWS: DAR ES SALAAM JENGO LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI TANZANIA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

Image
Na.Issack Gerald-Dar es Salaam Jengo la Wizara ya mambo ya ndani makao makuu ya jeshi la Polisi,limenusulika kuteketea kwa moto na kusababisha kazi za jeshi hilo kusimama kwa muda,kutokana na wafanyakazi na viongozi wa jeshi hilo kutoka nje ya jengo kufuatia ya tahadhari ya moto kutolewa.                                                Msemaji wa jeshi la Polisi Tanzania Advera Bulimba

WAZIRI MKUU ASEMA SERIKALI HAIJARIDHIA VIWANGO VIPYA VYA NAULI YA MABASI YAENDAYO KASI

Image
Na.Issack Gerald-Dar es Salaam Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijaridhia viwango vipya vya nauli ya mabasi yaendayo kasi vilivyopendekezwa na waendeshaji wa huduma ya mabasi yaendayo kasi Dar es salaam (UDART).                                                                                                                                                      

UELEWA MDOGO WA WATU WAISHIO NA VIRUSI VYA UKIMWI,BADO CHANGAMOTO KUUDHIBITI UGONJWA WA UKIMWI

Na.Issack Gerald-Mwanza Muuguzi wa Kituo kinacho toa huduma kwa watu wanaoishi na maambukizi ya Virus Vya UKIMWI na Yatima Shalom Care House Jijini Mwanza   Bi Edna Evarist amesema uelewa mdogo   wa watu wanaoishi Na VVU ni changamoto katika kudhibiti UKIMWI nchini.

WAWILI AKIWEMO ASKARI WA JESHI LA POLISI WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MWANZA KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Image
Na.Issack Gerald-Mwanza Watu wawili   akiwemo askari wa Jeshi la Polisi wanashikliwa   na jehi la polisi kwa makosa ya mauaji katika maeneo tofauti Mkoani Mwanza.                                                          Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza Justus Kamgisha

WATATU WAUAWA WILYANI MLELE KATIKA MATUKIO MAWILI TOFAUTI,LIMO LA BABA NA MWANAWE KULIWA NYAMA NA SIMBA

Image
Na.Issack Gerald-Mlele Katavi Watu watatu wamekufa katika matukio mawili tofauti Wilayani Mlele Mkoani Katavi likiwemo tukio la baba na mwanae kuliwa na samba jike mzee.                                           Baadhi ya Simba katika Hifadhi ya taifa ya wanayama ya Katavi

VIONGOZI WA CHAMA CHA USHIRIKA CHA SONAMCU MKOANI RUVUMA WASIMAMISHWA KAZI NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Image
Na.Issack Gerald-Ruvuma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.                                                                          Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu)                                                                                Moja ya mashamba ya tumbaku Mkoani Ruvuma

MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI WASIMAMISHWA KAZI

Image
Na.Issack Gerald Waziri wa Maliasili na Utalii Prof.Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi Endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Bw.Mohammed Kilongo na Maofisa wa Misitu wa Mikoa nchi nzima kupisha uchunguzi wa upotevu wa mapato ya Serikali.                                                                               Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam jana  05 Januari, 2016.

BREAKING NEWS : WALIMU 120 MIKOA YA RUKWA,KATAVI NA KIGOMA WAPATIWA MAFUNZO KUINU KIWANGO CHA UFAULU WA WANAFUNZI

Na.Issack Gerald- MPANDA JUMLA ya Walimu   120 wa Shule za msingi kutoka halmashauri 8 za   Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Katavi wanashiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu na wanafunzi katika ufundishaji na ujifunzaji ili kuboresha taaluma na kuongeza kiwango cha   Ufaulu kitaifa.