Posts

Showing posts from October 6, 2017

GODBLESS LEMA : KAMA SERIKALI YA MAGUFULI HAIJUI NANI ANAEFANYA MATUKIO YA MAUAJI, BASI NAE HAYUKO SALAMA-Oktoba 6,2017

Image
Godbless Lema akizungumza(mwenye shati (jeupe) na waandishi wa habari CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji maswali mbalimbali kwa  Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba na Inspekta Jenerali wa Polisi(IGP),Simon Sirro kuhusu mambo yanayoendelea kwenye upelelezi wa Ben Saanane,Tundu Lissu na aliyemtishia Mbunge wa Mtama,Nape Nnauye.

UNGUJA ZANZIBAR:KILIMO CHA ASILI NI KIVUTIO NJE YA NCHI-Oktoba 6,2017

IMEELEZWA kuwa kilimo cha asili kisichotumia kemikali ni kivutio kwa idadi kubwa nchi za nje kuthamini ubora wa bidhaa za  Zanzibar .

DC MPANDA-HAKUNA PEMBEJEO ZA RUZUKU-Oktoba 6,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Wa kwanza kulia ni DC llilian Matinga(asiyekuwa na wigi) MKUU wa wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Charles Matinga, amesema wakulima wilayani Mpanda wasitegemee mbolea za pembejeo za ruzuku pekee kwa kuwa mpaka sasa hakuna mwongozo wowote kuhusu pembejeo hizo kuwepo.

MANISPAA YA MPANDA WAIBUKA NA MASTA PLAN YA MPANGO MJI,MKUU WA MKOA WA KATAVI ATOA NENO-Oktoba 6,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Jengo la Ofisi za Manispaa ya Mpanda na Mkuu wa Mkoa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Muhuga amewataka wananchi mkoani Katavi,kuacha tabia ya kuzuia miradi mbalimbali ya Maendeleo.

WILAYA YA MPANDA KUANZISHA KILIMO ZAO LA PAMBA NA KOROSHO-Oktoba 6,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Pamba MKUU wa wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Charles Matinga, amesema Wilaya ya Mpanda imetenga Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo kuanzisha kilimo cha zao la pamba kuanzia mwaka huu 2017.