Na.Issack Gerald-NSIMBO Baraza la madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi, limetakiwa kusimamia kikamilifu shughuli za maendeleo katika kata zao pamoja na kutunza siri za serikali.
Na.Issack Gerald-MPANDA Jumla ya wahitimu 38 walioshiriki mafunzo awamu ya pili ya Kijeshi katika Hifadhi ya Wanyama pori Katavi, wametunukiwa vyeti katika madaraja mbalimbali.
Na.Issack Gerald-MPANDA . MADIWANI wanaounda baraza la madiwani halmashauri wa wilaya ya mpanda walioapishwa leo wametakiwa kuanza kazi kwa kuzingatia maadili na kuacha kufuata itikadi ya vyama vyao ili kuleta maendeleo ya wananchi kwaujumla.
Na.Issack Gerald-Mpanda Wananchi Mkoani Katavi wametakiwa kuripoti matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu katika Ofisi za haki za binadamu wanapoona mamlaka husika Mkoani hapa zinawanyanyasa katika haki zao mbalimbali.