Posts

Showing posts from December 21, 2015

WAZIRI MKUU ASEMA HANA KINYONGO NA MTU YEYOTE,ASEMA ITIKADI ZA SIASA ZILIISHIA OKTOBA 25

Image
Na.OFISI YA WAZIRI MKUU. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hana kinyongo na mtu yeyote kwa sababu alitangaza msamaha siku aliyokabidhiwa cheti kuwa mbunge wa jimbo la Ruangwa na kusisitiza kuwa siasa ziliisha tangu Oktoba 25, mwaka huu.                                        Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akizungumza na Wakazi Mkoani Lindi

BUNGE NCHINI BURUNDI NA BALAZA LA SENATE NCHINI HUMO WAKUTANA KUJADILI HALI YA USALAMA BURUNDI

Na. Prosper Kwigize Bujumbura, Burundi Bunge la Jamhuri ya Burundi kwa pamoja na Baraza la SENATE leo wamekutana pamoja jijini Bujumbura kujadili hali ya usalama.

BIL.137 KUGHARIMIA ELIMU BURE JANUARI HADI JUNI 2016

Image
NA:OFISI YA WAZIRI MKUU -DAR ES SALAAM SERIKALI imekwishatenga kiasi cha sh. bilioni 137 kwa ajili ya kugharamia utoaji wa elimu ya bure kuanzia Januari hadi Juni, mwakani.                                                                              Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa

WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KUTAMBUA HAKI ZA MTOTO KUZUIA UKATIRI

Na.Agness Mnubi-MPANDA. WAZAZI na Walezi mkoani Katavi wametakiwa kutambua umhimu wa haki za watoto na kuepuka Mazingira yanayopelekea ukatili na unyanyasaji kwa watoto hao.

WAWILI MBARONI AKIWEMO KARANI WA CHUO CHA MAENDELEO MSAGINYA ,KWA SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI KATAVI

Image
Na.Issack Gerald- Katavi Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu wawili akiwemo   ASHURA MSAGUSI(30) Karani wa chuo cha Maendeleo Msaginya Mkazi wa Kata ya Makanyagio na AISHA SUNGURA (28) Mkazi wa mtaa wa Mji wa Zamani kwa tuhuma za shambulio la mwili.                                          Kamanda wa Polisi Katavi-Dhahiri Kidavashari

MAUAJI KATAVI

Image
Na.Issack Gerald- Katavi Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la   KAZIMIRI MASUMBUKO(49) MKAZI NA MKULIMA WA MISANGA aliuawa kwa kuchomwa kitu chenye ncha kali sehemu za mgongoni, mkononi, mkono wa kushoto na kidevuni na watu wasiofahamika                                                Kamanda wa polisi Katavi-Dhahiri Kidavashari