Posts

Showing posts from January 28, 2016

ASKARI POLISI KATAVI APIGWA RISASI YA TUMBONI AFA PAPOHAPO ENEO LA TUKIO- P5 TANZANIA INAKULETEA UNDANI ZAIDI

Na.Issack Gerald-Mpanda Askari wa jeshi la polisi Mkoani Katavi H305PC Nobert Stanslaus Chacha amekufa baada ya kupigwa risasi maeneo ya Kapanda juu kata ya Machimboni Halmshauri ya Wilaya ya Mpanda.

BIL.31 ZAPITISHWA NA BALAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA MWAKA WA FEDHA 2016/2017

Na.Lutakilwa Lutobeka-Mpanda Jumla ya madiwani 20 katika halimashauri ya wilaya ya Mpanda wamepitisha bajeti ya shilingi bilioni 31 ya mwaka 2016/2017 iliyopendekezwa na halmashauri hiyo.

TAARIFA KAMILI YA POLISI KUHUSU WATU KUFA MAJI KATAVI BAADA YA GARI KUSOMBWA NA MAJI HII HAPA,POLISI WASUBIRI MIILI IELEE NDIPO IOKOLEWE

Na.Issack Gerald- Katavi Miili mitano ya watu walikufa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji katika Mto Koga uliopo mpakani mwa Mkoa wa Katavi na Tabora imepatikana huku miili mingine mitano ikiwa hajajulikana ilipo.

TANZANIA YATANGAZA MIKAKATI ZAIDI UJENZI MIUNDOMBINU YA BARABARA KATAVI

Na.Issack Gerald-Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea na mikakati ya kuhakikisha inatenga fedha za kutosha kwa ajili ya ujenzi barabara za Mkoa wa Katavi kwa kiwango cha lami kuunganisha na maeneo mengine jirani kwa ajili ya kukuza uchumi mkoani Katavi.

SITA WAFA MAJI BAADA YA GARI KUSOMBWA NA MAJI KATAVI, ZAIDI YA WATANO BADO KUPATIKANA,MKUU WA MKOA APIGA MARUFUKU MAGARI KUSAFIRI KUPITA MTO KOGA

Na.Issack Gerald-Katavi Watu wapatao 6 wameripotiwa kupoteza maisha katika daraja la mto Koga lililopo mpakani mwa mikoa ya Katavi na Tabora, baada ya maji yaliyotokana na mvua kufurika na kusababisha watu hao kusombwa na maji.

MKUU WA WILAYA NKASI ATOA RAI KWA MADIWANI WILAYANI HUMO KUHAKIKISHA WANATATUA CHANGAMOTO YA MAPATO YA HALMASHAURI

Na.Issack Gerald- Nkasi. MKUU wa Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Idd Hassan Kimanta amewaasa madiwani wa Wilaya hiyo kuhakikisha suala la kukuza mapato ya Halmashauri inakuwa ajenda ya kudumu kwao.