Posts

Showing posts from October 4, 2017

WAKAZI MJINI MPANDA:KUKATIKA UMEME KERO-Oktoba 4,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Baadhi ya Wakazi mjini mpanda Mkoani Katavi wakiwemo wafanyabiasha  wameliomba shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Mkoani Katavi Kuboresha miundombinu yao ili kukomesha tatizo la kukatika umeme mara kwa mara mjini hapa.

DC MPANDA:SITAMBUI KAMA WANANCHI WANAISHI CHINI YA MITI-Oktoba 4,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Mgolokani wakiwa chini ya mwembe kama makazi yao baada ya makazi yao kubomolewa(PICHA NA Issack Gerald) MKUU wa Wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Charles Matinga,amekana kuwa na taarifa kama waliokuwa wakazi wa kitongoji cha Mgolokani kata ya Sitalike Halamshauri ya Wilaya ya Nsimbo wanaishi chini ya miti kwa tangu Agosti 4,mwaka huu.

DC MPANDA KUSHUGHULIKIA VIBOKO WAVUNJA NDOA ZA WATU NA KUHARIBU MAZAO SHAMBANI-Oktoba 4,2017

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi MKUU wa wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Matinga amesema atawasiliana na idara ya maliasili pamoja na Shirika la kuhifadhi mbuga za wanyama Tanapa Mkoani Katavi ili kushughulikia malalamiko ya wananchi kuhusu tatizo la viboko wanaotishia maisha ya binadamu na kuharibu mazao shambani kwa wakazi wa kijiji cha milala na maeneo jirani.

EQUIP TANZANIA WATOA SHILINGI BILIONI 6 KWA AJILI YA ELIMU KATAVI NA SINDIDA-Oktoba 4,2017

Image
Na.Issack Gerald-Katavi RC Katavi Meja Jenerali Raphael Muhuga ambaye alikuwa mgeni rasmi katika makabidhaiano ya mpango huo Mpango wa kuinua kiwango cha ubora wa elemu katika shule za msingi nchini Tanzania (EQUIP Tanzania) unaotekelzwa na serikali ya uingeeza,umetenga zaidi ya shilling Bilioni 6 kwa mikoa ya Katavi na Singida zitakazotumika kuinua ubora wa elimu.