Posts

Showing posts from March 23, 2018

TAMKO LA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI KESHO MACHI 24

Image
# Kifua Kikuu(TB) ni ugonjwa wa kuambukiza unaoongoza kwa kusababisha vifo vingi Duniani. # Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani(WHO) inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni 10.4 huugua Kifua Kikuu kila mwaka Duniani na Milioni Moja kati ya hao ni watoto wenye umri chini ya miaka 15. # Tafiti nyingi zinaonesha kuwa karibia theluthi moja ya Watanzania tayari wamepata maambukizo ya Kifua Kikuu na wanaishi na vimelea mwilini mwao. # Kauli mbiu ya mwaka huu inasema *” Viongozi Tuwe Mstari wa Mbele Kuongoza Mapambano ya Kutokomeza TB.”* #Nchini Tanzania kila mwaka jumla ya watu 160,000 wanakadiriwa kuwa na ugonjwa wa Kifua Kikuu. # Nitoe wito kwa viongozi wa ngazi zote kuifanya vita dhidi ya TB kuwa agenda muhimu na ya kipaumbele. # Napenda kuwakumbusha TB inatibika na kupona kabisa, dawa zake zinatolewa bure na zinapatikana sehemu zote nchini katika vituo vya Umma na Binafsi. # Serikali imechukua hatua mbalimbali kukabiliana na tatizo la Kifua Kiku

ORODHA YA VYUO/TAASISI ZINAZORUHUSIWA KUFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA 2018

Image
Na Jina la Chuo/Taasisi 1 Agency for Development of Education Management (ADEM) – Mbeya Campus 2 AMO Training Centre - Bugando 3 Arafah Teachers' College - Tanga 4 Archbishop John Ramadhan School of Nursing - Korogwe 5 Ardhi Institute - Tabora 6 Ardhi Institute Morogoro - Morogoro 7 Arusha Institute of Business Studies - Arusha 8 Arusha Lutheran Medical Centre School of Nursing - Arusha 9 Arusha Technical College - Arusha 10 Assistant Medical Officers Training College -Mbeya 11 Bagamoyo College of Arts (TaSUBa) - Bagamoyo) 12 Bagamoyo School of Nursing - Bagamoyo 13 Bariadi Teachers College - Bariadi 14 Berega School of Nursing - Kilosa 15 Besha Health Training Institute - Tanga 16 Bishop Nicodemus Hando College of Health Sciences - Babati 17 Borigaram Agriculture Technical College - Dar es Salaam 18 Bugando School of Nursing - Nyamagana 19 Bulongwa Health Sciences Institute - Makete 20 Bulongwa Training Institute - Makete 21 Bustani