Posts

Showing posts from April 16, 2016

MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO MTEGONI,APEWA SIKU SABA KUCHUNGUZA MHANDISI MWENYE DHARAU NA JEURI KWA VIONGOZJI WA SERIKALINI NA UBINAFISI WA MATUMIZI YA GARI,UHAKIKI WATUMISHI HEWA NALO LAENDELEA KUMTESA MKURUGENZI

Na.Issack Gerald-Nsimbo Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Bw.michael zyungu amepewa siku 7 kuchunguza kazi ya mhandisi aliyetajwa kwa jina mojala Mh. Mbotu anayetuhumiwa kudharau na kuonesha jeuri kwa viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na ubinafsi katika kutumia mali za Halmashauri likiwemo gari la halmashauri hiyo.

SILAHA 11 KATAVI ZASALIMISHWA WAKATI WA ZOEZI LA UHAKIKI,ZAIDI YA ASILIMIA 60 HAZIJAHAKIKIWA

Na.Issack Gerald-Katavi Jumla ya silaha 11 kati ya 193 zinazomilikiwa kisheria Mkoani Katavi zimesalimishwa huku silaha 76 kati ya hizo 193 zikiwa zimehakikiwa kuanzia Machi 21 hadi Aprili mwaka huu.