Posts

Showing posts from November 20, 2015

MGOGORO WA WAFANYABIASAHARA WA MATUNDA SOKO LA MPANDA HOTEL WAMALIZIKA

Na.Issack Gerald-MPANDA Wafanyabiasahara wa matunda katika soko la Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda,wamewapongeza viongozi wa Manispaa,madiwani , maafisa masoko na Bibi afya   kwa kuwaruhusu kuuza matunda yao katika eneo wanalolitaka baada ya kufanya usafi wa kuridhisha.