WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI KATIKA MAMBO YENYE TIJA KWA WATANZANIA

NA.Issack Gerald-MPANDA
Watanzania wameshauliwa kutumia maadhimisho ya siku ya demokrasia duniani kufanya mambo yenye tija  kwa umma wa watanzania.

Hayo yamebainishwa leo na baadhi ya wakazi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wakati wa mahojiano na Mpanda Radio.
Wamesema kuwa ni muda mwafaka kwa watanzania  kutafakari mafanikio na changamoto za kidemkorasia hapa nchini ili watanzania waendelee kuwa wamoja na kudumisha amani.
Kipindi pia kimezungumza na wazee wa maeneo mbalimbali ambapo Mzee Ramadhani Salum Songolo na Issack Mlela ambao nao wametoa maoni yao kuhusu siku ya demokrasia duniani.
Siku ya demokrasia duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo Septemba 15.


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA