SOKO KUU LA VYAKULA WILAYANI MLELE KUONDOLEWA KATIKATI YA MJI

Soko kuu la vyakula lililopo katikati ya mji wa Inyonga katika halmashauri ya wilaya ya mlele mkoa wa katavi linatarajiwa kuhamishiwa katika eneo la kalovya lililopo katika halimashauri hiyo.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Mlele Rachel Kasanda wakati akizungumza na wafanya biashara wa wilaya hiyo kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa shule ya sekondari Inyonga.
Katika kikao hicho mkuu huyo wa wilaya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa halimashauri hiyo Alexius Kagunze kwa pamoja wamechangia mifuko kumi ya simenti kila mmoja.

Wakati huo huo wafanya biashara wa soko hilo wakiuunga mkono jitihada hizo kwa kuahidi kutoa michango mbali mbali.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA