WATU WASIOJULIKANA WAILIPUA NYUMBA YA KIONGOZI WA UPINZANI KWA BOMU
Kiongozi
mwenza wa Raila Odinga katika umoja wa vyama vya upinzani nchini Kenya (NASA),Kalonzo
Musyoka nyumba yake usiku wa kuamkia leo imepigwa bomu na watu wasiojulikana
katika eneo la Karen, jijini Nairobi nchini Kenya.

Hata hivyo, Kamanda Suiyanka amesema tayari jeshi la polisi
limefika eneo la tukio kufanya uchunguzi ili kuwabaini watu hao waliyohusika na
tukio hilo.
Hayo yamejiri ikiwa ni masaa machache tangu Kalonzo Musyoka
kutotokea jana Januari 30, 2018 kwenye sherehe za kujiapisha kwa kiongozi Mkuu
wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga kuwa Rais wa wananchi wa Kenya sherehe
zilizofanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Nairobi.
Habari
zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments