SERIKALI YAKIRI KUDAIWA NA VIWANDA

Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage amekiri ni serikali ya Tanzania kudaiwa na viwanda vya ndani.
Mhe.Charles Mwijage 
Amesema wanaosababisha deni lisilipwe ni watanzania wasiolipa kodi.
Waziri Mwijage amebainisha hayo leo katika mkutano wa Bunge wa 10 kikao cha Pili kinachoendelea kufanyika mjini Dodoma.
Waziri Mwijage alikuwa akijibu swali la nyongeza katika wizara yake ambapo aliulizwa kuwa serikali ina mkakati gani madhubuti wa kulipa madeni hayo ili kunusuru anguko la viwanda ambavyo vimeanzishwa kwa nia njema.

Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA