RAIS MUSEVEN ATOA MILIONI 30 KUFANIKISHA MATIBABU YA RADIO



Rais wa Uganda Yoweri Museven ametoa shilingi Milioni 30 kwa ajili ya  matibabu ya msanii Radio.

Msanii Radio ambaye amekuwa akifanya kazi na mwenzake Weasel alipata ajali January 23 mwaka huu na hali yake inaripotiwa kuwa mbaya.
Hapo jana taaarifa ilitolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa Radio na Weasel ilieleza kuwa February 4 mwaka huu kutafanyika maombi maalumu kwa ajili ya kumuombea Weasel.
Habari zaidi niP5TANZANIA LIMITED


Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA