WABUNGE WALIOJIUZULU VYAMA VYA UPINZANI NA KUJIUNGA CCM WAPITISHWA KUGOMBE KATIKA MAJIMBO YAO
Chama cha Mapinduzi (CCM)
kimewarudisha waliokuwa wabunge wa upinzani kugombea majimbo ya Siha na
Kinondoni baada ya wabunge hao kuijiunga na chama hicho.
Uthibitisho huo umeelezwa katika
taarifa ambayo imetolewa leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Hamphrey
Polepole imesema,baada ya tafakuri na tathimini ya kina.

NEC imesema wagombea wa ubunge
wanaelekezwa kufika katika ofisi za CCM katika mikoa husika na kupokea
maelekezo yahusuyo uchaguzi kutoka kwa makatibu wa CCM wa mikoa hiyo Jumanne
ijayo ya Januari 9 bila kukosa.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments