SERIKALI KUENDELEA KUWEKA ALAMA YA MIPAKA YA HIFADHI NA MAKAZI
Serikali imesema itaendelea kuweka
alama za mipaka ya hifadhi mbalimbali hapa nchini pamoja na kuelimisha wananchi
kuhusu umuhimu wa mistu ili kuepusha migogoro ya ardhi.

Akijibu swali la nyongeza la Mh.Sitta
pamoja na mambo mengine Mh.Hasunga amesema mara baada ya mkutano wa bunge
wataalamu watapanga ratiba ili kufika kwa mara nying8ine Mkoani Tabora ili
kutafuta ufumbuzi wa migogoro ya mipaka iliyopo kati ya wananchi na hifadhi.
Kwa mjibu wa Mh.Hasunga Misitu ya hifadhi
ya Norh Ugalla ina ushoroba wa wanayama ambao mara nyingi husafriri mpaka
Hifadhi ya taifa ya Wanyama ya Katavi.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments