CUF YA MAALIM SEIF YAJIPANGA KUKABILI NJAMA ZA LIPUMBA


Naibu Mkurugenzi wa Habari,Uenezi na Mahusiano na Umma wa CUF kwa upande wa Maalim Seif,Mbarala Maharagande amesema Profesa Lipumba pamoja na genge lake wamepanga njama za kuwafukuza madiwani wote wa CUF Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari,Maharagande amesema Lipumba amepanga njama za kuwafukuza madiwani wa CUF Dar es Salaam wakiwepo wastahiki Meya kutokana na madiwani hao kutokuwa na ushirikiano na Lipumba pamoja na kundi lake.
Hata hivyo Maharagande amedai chama hicho kimejipanga vyema kukabiliana na njama hizo zinazotaka kufanywa na Profesa Ibrahim Lipumba.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA