WAZIRI MKUU:KATIBA SIYO KIPAUMBELE CHA SERIKALI KWA SASA
Na.Issack Gerald
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema Changamoto za
jamii ni nyingi kuliko mahitaji ya Katiba hivyo suala la katiba sio kipaumbele
cha serikali kwa sasa.

Waziri
Majaliwa ameongeza kuwa Katiba ni muongozo tu na wakati ukifika serikali yake
imemaliza changamoto basi wataanza mchakato huo.
Habari
zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments