VYOMBO VYA DOLA VIPEWE MUDA WA KUCHUNGUZA MATUKIO YA MAUAJI
Na.Issack
Gerald
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema vyombo vya
dola vinatakiwa kupewa muda kwa ajili ya kufanya uchunguzi katika matukio
mbalimbali ya mashambulizi dhidi ya wananchi na viongozi.

Aidha
ameongeza kuwa Tundu Lissu ni mbunge mwenzao hivyo suala hilo linamhusu kila mbunge
wa kutoka upande wowote,hivyo linashughulikiwa kama matukio mengine
yanavyoshughulikiwa.
Habari
zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments