JESHI LA POLISI LIMEAGIZA UCHUNGUZI WA NDEGE ULIYOUA UFANYIKE
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha Mkoani Arusha limeagiza kufanyika
uchunguzi kwa ndege ndogo ya aina ya CQ241 ya kampuni ya Coastal iliyo anguka
na kusababisha vifo vya watu kumi na moja akiwemo na rubani wa ndege iyo aliye
tambulika kwa jina moja la Dewal akiwemo na abiria kumi ambao wanafanyiwa
uchunguzi wa utambuzi wa uraiya wao na majina yao.

Mkumbo amesema wameagiza jopo la utafiti kuchunguza ajali iyo
kwani sio mara ya kwanza kuanguka kwa ndege ya kampuni iyo ya Coastal uku ikiwa
imepita miezi miwili kuanguka kwa ndege nyingine ndogo ya kampuni iyo iyo .
Amesema jeshi la polisi lilifika eneo la tukio na kufanya
taratibu za kuopoa mihili ya marehemu na kusafirisha katika hospital ya mkoa wa
Arusha Mount Meru kwa ajili ya ndugu na jamaa kutambua mihili iyo na taratibu
za maziko kufanyika .
Kwa uapnde wa uwongozi wa kampuni iyo ya Coastal imesema kuwa
tukio ilo aliusiki na uzembe wa kuto kufanya uboreshai wa mara kwa mara na siku
ya juma mosi watatoa taharifa kamili ya tukio ilo.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments