MLIPUKO WA BOMU UMEUA WATU 30 SOMALIA


Mji wa Mogadishu umekuwa ukilengwa na kundi la wapiganaji wa al-Shabab ambalo linakabiliana na serikali.

Shambulio la bomu kubwa limewaua watu takriban watu 30 katika mji mkuu wa Mogadishu nchini Somalia.

Afisa mkuu wa polisi Mohammed Hussein amesema Makumi wengine walijeruhiwa wakati lori lililoegeshwa na vilipuzi kulipuliwa karibu na lango kuu la hoteli.
Polisi wamesema watu wawili waliuawa katika mlipuko mwengine wa pili katika wilaya ya Madina iliopo katika mji mkuu huku ikiwa haijulikani ni nani aliyetekeleza shambulio hilo.
Mji wa Mogadishu umekuwa ukilengwa na kundi la wapiganaji wa al-Shabab ambalo linakabiliana na serikali.
Mkaazi wa Mogadishu Muhidin Ali
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA