AKUTWA AMEFARIKI DUNIA,MAKTARI,JESHI LA POLISI LASITA KUELEZEA TUKIO WASEMA WATAELEZA BAADA YA UCHUNGUZI KUFANYIKA-sEPTEMBA 2,2017

Mtu mmoja ambaye amefahamika kwa jina moja la Tadeo amekutwa amekufa katika  bustani iliyopo pembezoni mwa mto mpanda kata ya Makanyagio manispaa ya Mpanda.

Jamaa na majirani wa tukio hilo wamesema kuwa marehemu amekuwa akijihusisha na shuguli za kubeba mizigo  maarufu kama Kuuli.
Lakini kwa upande wake kamanda wa jeshi la polisi mkoani Katavi ACP Damas Nyanda amesita kuzungumzia kisa hicho kwa madai ya kutokuwa na taarifa rasimi katika ofisi yake huku akiahidi kutoa taarifa punde tu mara baada ya kuthibitisha.
Naye Mganga wa hospitali ya Manispaa ya Mpanda Theopister Elisa amegoma kuzungumzia suala hilo kwa madai ya kusubiri uchunguzi ufanyike.

Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA