MAREKANI YAPATWA WASIWASI NA KENYA

Marekani imeelezea wasiwasi wake mkubwa juu ya matukio yanayotokea nchini Kenya,ambako kiongozi wa Upinzani Raila Odinga alijiapisha mwenyewe kuwa ''Rais wa Wananchi'' siku ya Jumanne.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya akijiapisha kuwa ''Rais wa Wananchi''Haki miliki ya pichaEPA
Image captionKiongozi wa upinzani nchini Kenya akijiapisha kuwa ''Rais wa Wananchi''
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Hearther Nauerth amesema malalamiko kuhusiana na uchaghuzi nchini Kenya yanapaswa kusuluhishwa kupitia utaratibu unaofaa wa kisheria.
Ameikosoa pia serikali kwa uamuzi wake wa kuvifungia vituo vitatu vya serikali,ambavyo vilijaribu kurusha matangazo ya moja kwa moja tukio hilo la kujiapisha kwa Raila Odinga.

Chanzo:bbc Swahili


Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA