WAKULIMA WILAYANI TANGANYIKA WAMEALALAMIKIA GHARAMA ZA PEMBEJEO ZA KILIMO
Na.Issack
Gerald
Wakulima kata ya Mpanda ndogo
wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali kupunguza gharama za
pembejeo za ruzuku.

Wamesema serikali iweke utaratibu
utakaowasaidia wakulima kupata pembejeo kama mbegu na mbolea ambazo watazinunua
kwa bei nafuu.
Serikali
ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais DK John Pombe Magufuli inahimiza Tanzania
ya viwanda ilikufikia, mpango huu mikakati inahitajika katika kuwainua wakulima
nchi Tanzania
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments