SERIKALI IMEZIRUHUSU HALMASHAURI KUAJIRI WATUMISHI
Na.Issack Gerald
Serikali imetoa ruksa kwa Halmashauri
nchini kuajiri maafisa watendaji wa kata pale inapoona kunaupungufu.

Waziri Mkuu amefafanua kuwa serikali
inatambua uwepo wa upungufu wa watumishi wa kada mbali mbali hali
iliyosababishwa na zoezi la uhakiki wa watumishi
hewa ilikiwemo vyeti feki.
Halmashauri
nyingi nchini Tanzania zimekumbwa na tatizo hilo la uhaba wa watumishi jambo
linalotajwa kuwa kikwazo katika mstakabali wa maendeleo.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments