WAKURUGENZI NCHINI WAPEWA AGIZO KALI KUHUSU MAFAO YA WATUMISHI
Na.Issack
Gerald

Waziri Jafo ametoa kauli hiyo leo kupitia
Clouds tv kufuatia malalamiko kutoka kwa baadhi ya watumishi hapa nchini
wakiwemo walimu wakilalamika kutopata mafao yao kwa wakati wanapostaafu.
Hata hivyo
siyo mara ya kwanza serikali kuagiza mafao ya watumishi yawasilishwe katika
mifuko ya hifadhi ya jamii suala ambalo waziri Jafo amesema kama ulikuwa ni
uzembe wa waajiri hautaendelea wala kuvumiliwa.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com au ukurasa P5Tanzania Limited
Comments