MATUKIO 6 MAKUU YALIYOTOKEA KATAVI WIKI HILI LA NNE,UBAKAJI WA WANAWAKE,WIZI WAKITHIRI POLISI JAMII WAKACHA ULINZI

NA. Issack Gerald-MPANDA
Kukosekana kwa uongozi imara katika sekta ya ulinzi na usalama,kumeababisha vitendo vya wizi na ubakaji kwa wanawake kukithiri katika mtaa wa Msasani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi.

Hayo yameelezwa jana na wakazi wa Mtaa huo wakati wakizungumza na P5 TANZANIA Mtaani hapo.
Wamesema usalama umetoweka baada ya  na Askari wa Jeshi la polisi jamii,kusitisha kufanya ulinzi kufuatia waharifu wanaowakamata kutochukuliwa hatua za kisheria sambamba na kutopatiwa michango ya kujikimu wakati wa shughuli ya ulinzi.
Naye Mwenyekiti wa mtaa huo Jonadi Makoli amesema usalama umedhorota kutokana na wakazi wa mtaa huo kukuika maazimio waliyojiwekea mwezi Aprili mwaka huu katika mkutano wa hadhara wa kuwachangia vijana wa polisi jamii.



Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA