MATUMIZI YA TOCHI BARABARANI MKOANI KATAVI ZATAJWA KUPUNGUZA AJALI KWA MWAKA 2017

Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Katavi limesema kuwepo kwa tochi za kudhibiti mwendokasi kumesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza ajali za barabarani.
Hatua hiyo imebainishwa na Askari wa kitengo cha Usalama Barabarani John Shindika wakati hali ya usalama katika kipindi cha mwaka 2017.
Aidha Shindika amewataka watumiaji wa barabara kuwa makini wawapo barabarani ili kujiepusha na ajali zisizo za lazima.
Katika hatua nyingine Shindika amesema suala la kuzuia ajali ni wajibu wa kila mtu hivyo kila mmoja yampasa kuzuia ajali kwa namna yoyote

Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA